mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,639
Hapo sasa ndipo tatizo lipo !!Haramu halali ni suala la imani.
Watawala ndio wanatufunza wizi sasa kwa ufisadi huu utakuwa na moyo wa kulipa kodi kweli,kwann nisikwepe
Hapo sasa ndipo tatizo lipo !!Haramu halali ni suala la imani.
Watawala ndio wanatufunza wizi sasa kwa ufisadi huu utakuwa na moyo wa kulipa kodi kweli,kwann nisikwepe
Inawezekana umeongea 'kisiasa' lakini hata Mimi hali iliyopo inanitishaWiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Walipo watu wa hali ya chini a.k.a wanyonge nchi nzima !!Ground ipi?
Amekumbatia mafisadi badala ya wananchiWiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.
Kuanzia wewehao wa hali ya chini ndo kina nani?
Nakubaliana na wewe kabisaWatanzania hua hawapigi kura bali wanawekewa Kiongozi ambaye wenye Nchi washamuandaa,
Jiandae kisaikolojia 2025 Mama Ikulu.
Umepiga kwenye utosi ! Huo ndio ukweli pale chamani watu vision wamepungua sana kama sio kuisha kabisa !! Maana ukiona kipo kitengo cha kupakazia na kutusi watu ujue vision kushney !! Imebaki ni ujanja ujanja tu ili mkono uende kinywani !! Think tank kwaheri !!!Wiki mbili zilizopita nilikuwa kijijini. Kuna kina mama kadhaa ambao walikuwa walikuwa ni CCM miaka yote na ni wale watu wasio na elimu, watu wa vijijini. Nilishangaa sana kukuta wanalalamika na kusema ''huyu mama hawezi uongozi''. Mawazo yangu ni haya: Rais Samia analaumiwa bure. Tatizo ni kuwa CCM imeshafika kikomo cha maarifa na sasa hivi ipo madarakani tu kwa sababu ya vyombo vya dola. Wanachotakiwa kufanya ni kubadilisha mfumo mzima wa uongozi, waruhusu ushindani halali ili kupata viongozi bora wenye upeo wa kuongoza. Haya mambo ya kupeleka wabunge wa hovyo hovyo kama kina babu Tale bungeni kwa kutumia nguvu yanazidi kuididimiza. Haya ukienda huko kwa wakuu wa wilaya na mikoa na viongozi wote wa kuteuliwa utakuta wamejaa wapigaji wasiyo na vision yoyote ya uongozi kwa sababu hakuna ushindani kwenye kuwapata.
pamoja na familia yako au sio bosi 😂Kuanzia wewe
Utajijupamoja na familia yako au sio bosi 😂
mmetoka kwenye wanyonge now wa hali ya chini
Ndiyo hivyo mkuu😂😂😂😂😂😂😂😂
👌utaji JEI JEI
Ulivyo mpuuzi
Barabara ya Morocco imejengwa kwa fedha za mkopo sio fedha za ndani
Kama kuna waliowahi mpigia kura jiwe hapo sioni ajabuNi mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.
Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Ni kweli wanaomdanganya Mama hawampendi ! Ndio maana wanaambiwa huku kwa Ground wananchi wa kawaida ambao ndio wengi hawaelewi kabisa ! Wao wanajua kupanda kwa hali ya maisha kunasababishwa na uongozi wa sasa !!CCM iachane na waimba mapambio irudi kwa wananchi kuona Hali halisi ya maisha.
Kipindi hichi mfumuko wa Bei wananchi wanamlaumu rais na huwaelezi sababu nyingine zaidi wanaona rais amewaruhusu wafanyabiashara kupandisha Bei.
Kama uchaguzi ungeitishwa leo Hali ingekua ni mbaya na yangeanza tena mambo ya chagua Magufuli sio chagua CCM.
Kwakweli Hali mtaani ni mbaya watu wameanza kukimbia familia inahuzunisha.
Serikali itoe elimu kwa viongozi wa wananchi chini kabisa wawe walau wanawaeleza wananchi sababu za huu ugumu wa maisha wa ghafla unaotokana na mfumuko wa Bei wananchi hawajhi kabisa sababu ni nini wao wanaona ni mabadiliko ya uongozi wa nchi ndio sababu.
Endelea kujidhihirisha ulivyo mpuuzi na zimbukuku!Ww ndio jinga ujui, barabara imejengwa na ela ya sherehe ya Uhuru, hospital ya Dodoma Uhuru hospital imejengwa Kwa kubana matumizi
Nyie mnabana matumizi Kwa kutumia Bilion Saba kuitengeneza movie
Na bado mamilion ya kwenda kuiangalia marekani inavyozinduliwa
Endelea kujidhihirisha ulivyo mpuuzi na zimbukuku!
Tafuta clip ya uzinduzi wa ile barabara alizindua Rais Samia usikilize wafadhili walivyotoa hela kujenga hiyo barabara
Ona ulivyo mpuuzi sasa!! Alijenga barabara kwa pesa zake?Unaongea ukiwa wapi? Barabara alizindua magu, usije ukawa unachanganya na daraja la tanzanite
Ona ulivyo mpuuzi sasa!! Alijenga barabara kwa pesa zake?
Kwani amekwambia alijenga kwa pesa zake. Jifunze kusoma. Amekwambia alizindua (alifanya ufunguzi)Ona ulivyo mpuuzi sasa!! Alijenga barabara kwa pesa zake?