Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Wanachofanyaga chaguzi zote mpaka wanakalia, ndicho watakachofanya tena.
 
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Nchi gani hali ya maisha haijapanda tangu mzozo wa Ukraine na Russia uanze mkuu? Hebu pitia vyombo vya habari vya nchi jirani usikie hali ikoje. Malawi watu wameshaingia barabarani
 
Fanya utafiti, maeneo yenye masikini wengi, ukiishi hapo hutoboi, full uchawi, majini nakadhalika, masikini huwa hawapendani na hawapendi matajiri.

Nenda kigoma ujiji, ukijenga nyumba mpya kesho unaamka umekufa, hawataki maendeleo, mtoto akiwa na akili anarogwa akili, anakuwa zezeta, Kuna mikoa ambayo ukienda kwenu, siku ya kuondoka huagi.

Hawa magufuli aliwaaminisha kwamba kuwa masikini ni fahari, kuwa mnyonge ni fahari, hawakubali kumuona mtu yeyote anafanya juhudi walau ajenge nyumba ya bati, watamsema mji mzima, wengi huamua kujenga mbali na makwao.

Samia anahubiri utajiri, anahubiri mafanikio, hawa wanataka mtu awahubirie umasikini na unyonge, fitina na majungu.
Mbona unawananga Makamu wa Rais na Zito Kabwe maana wote wanatokea Kigoma.
 
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.

Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!

Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.

Kazi iendelee.

Ungesema anachukiwa na sukuma gang na chawa wa mwendazake ungekuwa sahihi zaidi
 
Nilikumkuta mwanakijiji mmoja anasikitika, eti siku hizi hakuna Rea tena 27,000, kuna Samira 300,000
 
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Ukimpigia kura mgombea mwingine ndiyo mafuta na mbolea vitashuka Bei!!?...watanzania wengi wajinga,upeo duni na hawafuatilii Mambo ya nchi
 
brother utakuwa wewe ndio ,mwenye matatizo sisi wengine tunamwona kama mkombozi kaja
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
 
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.

Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!

Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.

Kazi iendelee.
Kwa sababu yeye anakuwa na shibe halafu hajui mwenye njaa.
Yeye anaamini watu wote sasa hivi hela zipo.
Wasiokuwa na hela ni wazembe au hawafanyi kazi ndivyo anavyoona yeye.
Hataki kupambana na changamoto zinazowakumba watu wa chini kama vile mfumuko wa bei.
Yeye ndio kwanza kutangaza kwamba vitu vitapandaaaaaaaa. Tupende, tusipende.
Hakuna kitu kinawagusaga watu wa chini kama mfumuko wa bei.
 
Fanya utafiti, maeneo yenye masikini wengi, ukiishi hapo hutoboi, full uchawi, majini nakadhalika, masikini huwa hawapendani na hawapendi matajiri.

Nenda kigoma ujiji, ukijenga nyumba mpya kesho unaamka umekufa, hawataki maendeleo, mtoto akiwa na akili anarogwa akili, anakuwa zezeta, Kuna mikoa ambayo ukienda kwenu, siku ya kuondoka huagi.

Hawa magufuli aliwaaminisha kwamba kuwa masikini ni fahari, kuwa mnyonge ni fahari, hawakubali kumuona mtu yeyote anafanya juhudi walau ajenge nyumba ya bati, watamsema mji mzima, wengi huamua kujenga mbali na makwao.

Samia anahubiri utajiri, anahubiri mafanikio, hawa wanataka mtu awahubirie umasikini na unyonge, fitina na majungu.
Hao ndio wapiga kura leo huwataki, uchaguzi ukifika sio wachawi tena ni watu muhimu sio? Weka akiba ya maneno basi. Nionavyo mimi maraisi wrote ni bora tu ubaya unakuja kichwani mwako, TUSIGAWANYIKE WATANZANIA
 
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.

Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!

Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.

Kazi iendelee.
Kiongozi/dictator yeyote anapenda sifa.
Watu wa chini/ wanyonge hawajui kutofautisha kati ya mpenda sifa na mtendaji
Wao humeza kila lijalo mbele yao
Ndo maana bwana magufuli alikuwa anakwenda na ma kamera mpaka maliwatoni ili kuwadanganya hao WANYONGE/WATU WA CHINI. SIJUI NI KINANANI HAO????
 
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.

Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!

Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.

Kazi iendelee.
Ni kweli ndugu tena wanawake wanamchukia na matusi mengi
 
Wao walikuwa wanatoka Sengerema huko na laundry bags zao wanafikia Posta wanaanza kupikia kuni kando ya barabara. Waache tu wamchukie ikifika wakati wa kampeni kina Tulia watawabebesha majeneza bandia yenye rangi ya CHADEMA na ubale wa kanga kila mmoja wao waanabakia kukata viuno.
 
Samia ni raisi wa matajiri na sio wa wanyonge.
Soda sh 700,nauli juu mafuta lita 3700.
Mafuta ya kula dumu laki na 30.
Kabomolea machinga pa kupatia riziki
 
Back
Top Bottom