Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
- Thread starter
- #101
Kwa kweli mm siwezi kufanya sex bila kuoga.ni uchafu mkubwa sana.hata kama mechi ikifanyika SAA nane za usiku ma wash room iko njee.ntatoka tu.ndo nijisikie vizuri.
Lakini ujue kwamba kama sababu yako ya kuoga ni janaba basi maana yake ni kwamba wewe (Mwanamke) ndiyo mchafu na siyo Mwanaume, sababu ya janaba ni kwamba Waislamu wanaamini kwamba Mwanamke (na siyo Mwanaume) ndiyo mchafu na ndiyo maana wanatakiwa kwenda kuoga baada ya tendo, hivyo basi kila unavyokwenda kuoga baada ya tendo ina maana unakubaliana na Waislamu kwama wewe (Mwanamke) ndiyo mchafu na siyo Mwanaume!