Kwanini watu huoga baada ya kujamiiana?

Kwanini watu huoga baada ya kujamiiana?

Mimi siogi, I enjoy the scent of a pu§y after sex. [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakyanani hii comment nimecheka hadi basi ila sijui hata kwa nini nimecheka
 
Mkuu hilo swali nzuri kwanza waatalamu wanasema kama unajamiana Na muathirika vizuri ukimaliza muda huo huo ni vizuri ukajisafisha kwa sababu wale bacteria huwa wanachukuwa muda kidogo kuingia kwenye mwili
mmmh imenivutia hii hebu fafanua
 
mmmh imenivutia hii hebu fafanua
Sina utalamu sana kwa hilo mkuu bt mimi kuna mchepuko nilikuwa nao yeye ni nesi sasa yeye kidogo anajua mambo hayo sasa kuna siku nilikuwa na du nae akanielezea hayo mambo na yeye baada ya kupiga goli moja alinikimbiza bafuni akaniosha ndio akaanza kunipa darasa wale bacteria huwa wanachelewaga kidogo ndani ya mwili sasa ukiwai kujisafisha kwa maji ya sabuni huwa unawaondoa na unakuwa salama
 
Sababu hasa ni ipi? Kwani nimesikia wengi sana wakisema ni lazima kuoga baada ya kumaliza kujamiiana, mpaka leo sijaelewa sababu hasa ni ipi?
Wewe mbona ukitoka kazini unaoga?tueleze kwanini.
 
Unaoga ili kuufanya mwili urudi katika hali ya kawaida baada ya kazi.
 
Kuoga baada ya nasty ni muhimu, coz mchanganyiko wa jasho+manukato+zile vitu = a very unpleasant smell. Ila pia hutegemea na mazingira, na utashi wa mtu.

Binafsi, zaidi ya usafi, naoga kutoa guilt conscious. Na lazima nilale for at least 20 minutes, la sivyo napoteza uwezo wa kuona kwa ufasaha.
 
Finally nimepata thread ya kuweka hii picha....ni avatar ya mdau..

73501.jpg
 
Back
Top Bottom