Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Kweli wewe mgodi unafoka tu na kutoa Mali!

Sikuhizi hata zile ngoma zakina Membo na Mgote, hazipo tena! Tulizoea kwenda kwenye matanda, na wakati wa kutoka ile jion tunafanya CHAGULAGA. Au kwny harusi tunaenda KUTULAMVA.
 
Last edited by a moderator:
Sikuhizi hata zile ngoma zakina Membo na Mgote, hazipo tena! Tulizoea kwenda kwenye matanda, na wakati wa kutoka ile jion tunafanya CHAGULAGA. Au kwny harusi tunaenda KUTULAMVA.

Bado zipo hizo Mkuu! Ukienda ndanindaniunakuta hayo mambo!
 
lucky me... black sukuma girl, got married 2 fellow sukuma.. japo nilikuwa si-wish kuolewa na wa kukaya, lakini nika-fall in love kwa ngosha
 
lucky you..abhange dugugwila guma kabhila...yaani
lucky me... black sukuma
girl, got married 2 fellow sukuma.. japo nilikuwa si-wish kuolewa na wa
kukaya, lakini nika-fall in love kwa ngosha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…