Ila ukweli upo ndani yakoMaisha ni kupanga na kuchagua mradi sili cha mtu yote kheri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kuna specie nyingine inaolewa na wanaume these days. I mean kama hawaolewi maana yake wanaume hatuoi au tumepata mbadala
Jibu lianze na wewe.......chukua hatua, oa mmoja, ongeza wa pili, wa tatu na baadae wa nne....... tukifanya hivi tuta overcome hili tatizo!!!!Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini..........
Wakuu naombeni majibu...
Kwani ndo ni oksgen wakiikosa watakufa???Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki walivyo, lakini bado kupata majibu.
Unaweza pia kuthibitisha hili ninalolisema, kwa kuangalia kwa mazingira uliyopo, unakuta mdada ana miaka 35 au 40 ana kazi nzuri, lakini hana mume. Ina maana kwa sasa dunia imeshakuwa na upungufu wa wanaume kiasi hicho?
Wakuu naombeni majibu...
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa wao akili wanaziacha nyuma wanatànguliza starehe tu.Ancestor gani hao.
Wakati Samsoni alinyooshwa vilivyo na hata maandiko yanasema muishi nasi kwa akili.
sio kwamba waoaji hawapo siku hizi?Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki walivyo, lakini bado kupata majibu.
Unaweza pia kuthibitisha hili ninalolisema, kwa kuangalia kwa mazingira uliyopo, unakuta mdada ana miaka 35 au 40 ana kazi nzuri, lakini hana mume. Ina maana kwa sasa dunia imeshakuwa na upungufu wa wanaume kiasi hicho?
Wakuu naombeni majibu...
Hawataki kuwa chini ya mtu hasa ukizingatia kwamba wanataka uhuru wa kufanya mambo mbalimbali ktk maisha yao ya kila siku ...Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki walivyo, lakini bado kupata majibu.
Unaweza pia kuthibitisha hili ninalolisema, kwa kuangalia kwa mazingira uliyopo, unakuta mdada ana miaka 35 au 40 ana kazi nzuri, lakini hana mume. Ina maana kwa sasa dunia imeshakuwa na upungufu wa wanaume kiasi hicho?
Wakuu naombeni majibu...
Vichwa majiWanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki walivyo, lakini bado kupata majibu.
Unaweza pia kuthibitisha hili ninalolisema, kwa kuangalia kwa mazingira uliyopo, unakuta mdada ana miaka 35 au 40 ana kazi nzuri, lakini hana mume. Ina maana kwa sasa dunia imeshakuwa na upungufu wa wanaume kiasi hicho?
Wakuu naombeni majibu...
sio kwamba shida zikikuelemmea mkiwa wawili ndo mzigo unakuwa mkubwa...we fikiria unawaza ule nini na mke wangu avae niniWapo wanaoamini shida zikikuelemea ukiwa na mwenzako kutakuwa na unafuu zaidi, kwa sababu mtakuwa mnasaidiana.
Mkuu hili jina lako ni la asili!!? Samahani lakiniSababu ni moja tu, kwamba wanaume wanapata huduma zote bila tatizo ndio maana hawaolewi. Siku wanawake wakiungana na kuaamua kuwa hawatoi kuholela mpaka waingie kwenye ndoa. Hata wanaume wataona thamani ya ndoa na kuiipa uzito
Sasa kila ukigeuka unapewa huduma unakuwa huoni sababu ya kuoa maana aliyeoa na ambae bado hamna tofauti yoyote
[emoji1787]wanawake hizi siku hawana maana ni wa kila mtu sasa unaoa ili uhifadhi mboga watu wawe wanachovya.
Mwanamke si pambo tena la nyumba...
Sikuhizi mwanamke ni kiburudisho....
Sijui kama wanaume wanaelewa.....!