Kwanini wanawake wengi siku hizi hawaolewi?

Kwanini wanawake wengi siku hizi hawaolewi?

Huu utafiti ni dar na baadhi miji mikubwa .mikoani huko nimetoka majuzi. Kila mwanaume kaoa na watoto 2 plus..na wanawake wengi wameolewa ..Hadi vijana wadogo wanafamilia tofauti na dar ..ninadra Sana kukuta wanawake single wengi Kama ilivo dar..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki walivyo, lakini bado kupata majibu.

Unaweza pia kuthibitisha hili ninalolisema, kwa kuangalia kwa mazingira uliyopo, unakuta mdada ana miaka 35 au 40 ana kazi nzuri, lakini hana mume. Ina maana kwa sasa dunia imeshakuwa na upungufu wa wanaume kiasi hicho?

Wakuu naombeni majibu...
Ukiolewa wewe inatosha
 
Wamewezeshwa na wakaweza.
Suala ni je, tunavyokazana kuwawezesha wanawake na watoto wa kike Kuna vijana wowote wa kiume wanakuwa empowered kuja kuishi na Hawa wanawake?
Jibu ni hapana.!!
Wanaume wanaogopa kuwa waume wa Hawa wanawake kwa sababu ni wabishi kwanza, Wana jeuri Fulani ya kujiweza na kutokuwa na shida
Yaani ni lazima mwanaume uwe mbabe natafutaji wa pesa zaidi yake ndio utaweza kuishi naye.
Vinginevyo watazalishwa na kuendelea kuishi peke yao.
Na Kuna kizazi kitakuwa hakuna kuoana itakuwa kama ng'ombe tu.
Watu wanatiana mimba na kila mtu anaendelea na mishe zake

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom