Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,181
- 16,023
1. Uzumbukuku wa nchi za magharibi uitwao haki sawa ndiyo chanzo cha yote hayo.
2. Malezi mabovu ya wazazi kwa watoto jinsi K. MFANO; Kipindi flani nilienda Chuo Cha T.I.A kuchukua gamba kuna Binti mdogo tu wa 25yrs nilimuuliza inshu ya kuolewa alinijibu ifuatavyo:
"Akaaa...mi sitaki manyanyaso yoyote sababu ya Mume zaidi ya kutafuta Mume anizalishe tu watoto nitalea mwenyewe maana nitakuwa na kazi yangu, Me wenyewe ndiyo hawa hawa wanaotupiga na masimango juu kisa ni vichwa vya familia?"