Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Ndo maana nasema mmefyumuuu teh teh poleni
Ofa ziko pale pale hatutaacha kuwapa whether tuko ulaya ama bongo
Mwendo mdundo tu kutoa ofa
Cha msingi mfanye mazoezi:A S-alert1:

:focus:

Kimbweka hatukatai mazoezi na diet vyote tunafanya na ukweli ni utaratibu wangu wa kawaida sana,,,,kadhia inakuja hapo kuwa vitambi vinaletwa na ofa za wanaume,,jamani that is an insult
 
wapashe hao,wamezidi kutudhalilisha as if we cant afford to buy anything.

Hata mkiwa na uwezo mnabaniamkiona dume linanunua...tena wengine wanywaji asilia wa KILIMANJARO kubwa...ile kama fire extinguisher...mkiona dume mnajifanya kunywa kale kabia SAVANNAH tena mwataka ya uvuguvugu...inabidi ziagizwe mbili moto na baridi ili zichanganywe...bili yakeTZS 3,500X2/round
 
Kimbweka hatukatai mazoezi na diet vyote tunafanya na ukweli ni utaratibu wangu wa kawaida sana,,,,kadhia inakuja hapo kuwa vitambi vinaletwa na ofa za wanaume,,jamani that is an insult

Siyo lazima ofa za midume mbegu vina sababu nyingi zimeelezwa hapo juu ikiwemo uzazi
Ila ofa huwa zipo msilikatae hili bana ila siyo lazima zikuleteee kitambi
 
hahahaha!na mwanaume akipewa ofa na mwanamke anapata nini???
 
Vitambi unamaanisha wakina dada wenye matumbo makuuuuuuuuuubwa?

Hao wanaendekeza bia ngumu na mdudu wenye pua ndefu
 
Hivi hapa kumbe tumeshabadili topic kuwa ya ofa tena kwa wanaume...hii mtaalamu wake ni Maty tu....
 
Hata mkiwa na uwezo mnabaniamkiona dume linanunua...tena wengine wanywaji asilia wa KILIMANJARO kubwa...ile kama fire extinguisher...mkiona dume mnajifanya kunywa kale kabia SAVANNAH tena mwataka ya uvuguvugu...inabidi ziagizwe mbili moto na baridi ili zichanganywe...bili yakeTZS 3,500X2/round

haha kiongozi naona unaongelea uzoefu....hii mimi nimeshakumbana nayo sana tu ndo walivyo baadhi ya dada zetu.....(sio wa hapa MMU lakini)
 
Back
Top Bottom