Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Sababu za wanawake kuwa na vitambi siku hizi:
1. Kutofanya mazoezi ya viungo mara kwa mara
2. Uvimbe kwenye tumbo la uzazi
3. Use of contraceptives
4. Kula kula ovyo, hasa vyakula vyenye mafuta mengi
 
Siku hizi uzazi wa operation umekuwa mwingi sana ,Pia nadhani mambo ya ulabu na makulaji ndo yanasababisha hii miili
 
gay_kiss.jpg

......na mwenzie.....

Yo yo hii picha nasikia kutapika kabisa
 
tangu zamani vilikuwepo ila siku hizi mnavinotice kirahisi kwa kuwa fashion zimebadilika hamuvitaki, mnataka vimodo
 
kwanini wanawake wengi wa tz mna vitambi???

kitambi_kike.jpg

picha kwa hisani ya jay dee blog

Nawashangaa akina dada mnaomshambulia YO YO kwa kuweka hii picha hapa, kwa nn msimshambulie kikomazi kwa kuweka kwenye blog yake na yeye ni mwanamke mwenzenu? au kwa vile yeye ni komandoo?
 
Nawashangaa akina dada mnaomshambulia YO YO kwa kuweka hii picha hapa, kwa nn msimshambulie kikomazi kwa kuweka kwenye blog yake na yeye ni mwanamke mwenzenu? au kwa vile yeye ni komandoo?
mods wana benefit nn hawa mademu wa JF?
 
Aina ya vyakula tunavyokula,kutokufanya mazoezi na wakati mwingine ni baada ya uzazi na wengine ni maumbile yao........natumai umeelewa.
 
Back
Top Bottom