Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

Kutokana na mabadiliko ya kiuchumi,kiutamaduni na Elimu,ndani ya jamii asilimia kubwa ya wanawake wamewezeshwa kiuchumi,kielimu na wameweza kujitambua na ss huwadanganyi kitu.

Maisha ya wake zaidi ya mmoja lengo ni kusaidia wanawake masikini pia kuongeza idadi ya watu duniani kulingana na kitabu kitakatifu kinavyosema@
 
Kwa sababu umejizira, una dhiki na huwezi kumudu maisha na hivyo unataka mtu wa kukulisha na kukuvalisha au hujui mapenzi ni nini?

Samahani lakini.

Naongea mim kama mim

Ukiolewa n mume ambae n.musilamu na akataka kuongeza mke wa pili bas shart la kwanza akupe taarifa. Na pia ikunbukwe kuoa mke zaidi ya mmoja sio watu wamejiweke bali ni sheria zipo na pia mke wa pili unaoa ikiwa yafuatayo yapo ndani yako
Una uwezo wa kuwalisha wote
Una uwezo wa kuwapa kile wanachostahili na kuwatoshelezea kimahitaji ya kimwili na mengineyo
Na kama huku utaacha elfu tano bas kwa mke mkubwa uache hiyo elfu tano sio huku elfo moja kule msimbazi.
Na kuoa mke wa pili yataka mshauriane ww na mkeo. Sasa mke akikataa mume hilo sio jukumu lako tena bali kalibeba mkeo. Na akikataa akupe sababu hasa za msingi.

Mim binafsi mume anipe mahitaji yangu stahiki anitimizie nitakacho akitaka kuoa mke wa pili akimudu kutugharamia ruksa.
 
Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia.

Back to the topic, ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.

Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika.

Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?

Kwanza kabisa unapoinukuu Qur'an inabidi uiweke na hiyo aya, labda umeinukuu vibaya.

Kwa kukujuza tu, hakuna kitabu chochote cha dini nyingine yeyote kilichosema "marry only one" isipokuwa qur'an pekee.

Pata darsa:

Qur'an 4:3

4_3.png
​
Sahih International
And if you fear that you will not deal justly with the orphan girls, then marry those that please you of [other] women, two or three or four. But if you fear that you will not be just, then [marry only] one or those your right hand possesses. That is more suitable that you may not incline [to injustice].

Sasa wewe tuoneshe kitabu kingine chochote ukijuwacho chenye nukuu ya "marry only one".

Isitoshe, mwanamke wa Kiislam halazimishwi kukaa kwenye ndoa yoyote ile ambayo haridhiki nayo, si kama ukristo ambao ni marufuku ku achana.
 
Kwa sababu umejizira, una dhiki na huwezi kumudu maisha na hivyo unataka mtu wa kukulisha na kukuvalisha au hujui mapenzi ni nini?

Samahani lakini.

Mamaafacebook njoo huku kuna mgeni wako.wageni wengine!
 
Well said. Maana humu hata umbea wakati mwingine huitwa utafiti. Nadhani mhusika anafanya kazi wazo lako lakini sample size lazima ya watano ni ndogo.

Yeah, ni kweli kabisa sample size ya watano ni ndogo sana ila ukizingatia huo muda wa wiki mbili aliobaki nao, kufanya survey kwa sample size kubwa itakuwa shida kidogo.
 
sio wanawake hawtaki ukewenza, wanaume now wengi hawajiwezi kitandani, kumtosheleza mke mmoja shida sasa akiongeza wa pili itakuwaje si ndio kuchapiwa kunahalalishwa.
 
Mbona xaxa yamekuwa marumbano ya kidini wakati juzi tumecheza mech ya amani
 
Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia.

Back to the topic, ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.

Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika.

Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?

Sio km wameamua kupinga bali hiyo ruhusa ilotolewa na Qur an wanaume wengine wameamua kuitumia vibaya sana,ruhusa inasema uwe na uwezo na utende haki,wanawake wengi sana siku hizi wanapinga waume zao kuoa kwa sababu kuu mbili
1.uwezo wa kuhudumia umekuwa mdogo na wengi wao hawafanyi uadilifu ktk hilo,na ndio maana anajua wazi kuwa mumewe akioa lazima kuna huduma atazikosa,
2.wanawake wengi sana wana roho mbaya sana ktk maisha ya leo,hawataki na wenziwao kupata wanayoyapata.
Na mwisho tu nikuambie kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja sio lazima hiyo imewekwa km ni ruhusa tu ambapo hiyo hiyo inaweza kukuweka pabaya kwa mola wako km utaoa wakati huna uwezo,nadhani rudia kwenye Qur an angalia je hizo aya zinazoruhusu ndoa zaidi ya moja zinasemaje.
 
Alikuwa anachepuka

Shika adabu yako na adabu ikushike kama baba yako alichepuka akakuzalia kilabuni ni yeye ukome mwanahizaya baba yangu alishatangulia mbele ya haki usimuingize hapa,------ manyoya we.
 
Shika adabu yako na adabu ikushike kama baba yako alichepuka akakuzalia kilabuni ni yeye ukome mwanahizaya baba yangu alishatangulia mbele ya haki usimuingize hapa,------ manyoya we.
Mbona una hasira hivyo? Sasa povu lote la nini? Jibu hoja sio matusi, hata mimi baba angu alishatanguli sasa matusi ya nini? Kwani walio tangulia ndio walikuwa hawachepuki ? Labda kama ulikuwa body guard wake ? Kama kuwa critised hamwezi msichangie hoja basi,
 
Achana na mimi,we huna hoja unataka ujibiwe hoja hewani??tafuta mtu anaetaka kutukaniwa mzazi wake mjibizane.
 
Back
Top Bottom