Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
3,383
Reaction score
1,360
Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia.

Back to the topic, ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.

Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika.

Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?

 
" je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?"

Mkuu nahisi imekaa kidini zaidi kuliko MMU. Kwa maana hiyo, jukwaa muafaka lingekuwa ni la Dini.
 
Naongea mim kama mim

Ukiolewa n mume ambae n.musilamu na akataka kuongeza mke wa pili bas shart la kwanza akupe taarifa. Na pia ikunbukwe kuoa mke zaidi ya mmoja sio watu wamejiweke bali ni sheria zipo na pia mke wa pili unaoa ikiwa yafuatayo yapo ndani yako
Una uwezo wa kuwalisha wote
Una uwezo wa kuwapa kile wanachostahili na kuwatoshelezea kimahitaji ya kimwili na mengineyo
Na kama huku utaacha elfu tano bas kwa mke mkubwa uache hiyo elfu tano sio huku elfo moja kule msimbazi.
Na kuoa mke wa pili yataka mshauriane ww na mkeo. Sasa mke akikataa mume hilo sio jukumu lako tena bali kalibeba mkeo. Na akikataa akupe sababu hasa za msingi.


Mim binafsi mume anipe mahitaji yangu stahiki anitimizie nitakacho akitaka kuoa mke wa pili akimudu kutugharamia ruksa.
 
Angalia hapo kwenye red. Siyo kweli kwamba Quran pekee ndiyo inaruhusu mwanamme kuoa wake wengi. Hata Biblia inaruhusu - mfalme Daudi alikuwa na wake 100, mfalme solomon alikuwa na wake 1000 (700 + masuria 300), Yakobo (Israel) wake 2 pamoja na kuzaa na wajakazi 2, etc.




Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.
 
bornagain
Hizo ni dhana, Hakuna utafiti wa kuthibitisha madai haya.
Pili, Kwa alieshiba dini hasa uke wenza haiwezi kuwa tatito kwake.

Tatizo lililopo ni kuamini iuwa kila mwenye jina la kiislamau au anaejivika Shungi basi ni Mwislam.
USHAURI WA BURE, Tafiti kwanza kujua kuwa je, ni kweli Waislam hasa wanazipinga hizo ndoa za uke-wenza ama lah?
Ukishakugundua kuwa ni kweli sasa unaweza kutafuta chanzo na sababu ya kutokuzitaka, na si ku-generalize kama ufanyavyo sasa.
 
Last edited by a moderator:
Quran ifanyiwe mabadiliko.. Iundwe tume ya mabadiliko

mwenyekiti wa tume awe mwanamke

ahahahahahhahahaaaaah

What is so funny to laugh about?? Qur'an is sio kama bible kua kuna agano jipya na zamani hakuna qur'an ya kiswahili wala ya kujerumani maandish ni ya kiarabu isipokua tafsir hua ya lugha yako ili uelewe kile kilichoandikwa ndani ya qur'ani unataka ifanyiwe mabadiliko yapi????
 
Naongea mim kama mim

Ukiolewa n mume ambae n.musilamu na akataka kuongeza mke wa pili bas shart la kwanza akupe taarifa. Na pia ikunbukwe kuoa mke zaidi ya mmoja sio watu wamejiweke bali ni sheria zipo na pia mke wa pili unaoa ikiwa yafuatayo yapo ndani yako
Una uwezo wa kuwalisha wote
Una uwezo wa kuwapa kile wanachostahili na kuwatoshelezea kimahitaji ya kimwili na mengineyo
Na kama huku utaacha elfu tano bas kwa mke mkubwa uache hiyo elfu tano sio huku elfo moja kule msimbazi.
Na kuoa mke wa pili yataka mshauriane ww na mkeo. Sasa mke akikataa mume hilo sio jukumu lako tena bali kalibeba mkeo. Na akikataa akupe sababu hasa za msingi.


Mim binafsi mume anipe mahitaji yangu stahiki anitimizie nitakacho akitaka kuoa mke wa pili akimudu kutugharamia ruksa.

mamaafacebook mi sio wawili hata akitaka wa4 aoe na kanzu namnunulia.
 
Mkuu bornagain kilichoandikwa kwenye quran kilizingatia maslahi ya wanaume zaidi kuliko mwanamke kwakuwa walioiandika wote walikuwa wanaume.Nikiweka mbali sababu za dini nitajikita zaidi katika sababu za kiuchumi.Mara nyingi mwanaume anapotaka kuongeza mwanamke anakuwa amefanikiwa kiuchumi then anashindwa kudhibiti tamaa za mwili.Utakuta mwanamke aliye kwenye ndoa kashiriki kwa kiasi kikubwa kufanikisha kupatikana utajiri wa familia ghafla mwanaume anajiangalia mwenyewe kwa kutaka kuongeza mwanamke mwingine hapo ndipo timbwili linapoanza.

Moderator, samahani naomba usiondoe uzi huu kama ulivonifanyia jana maana nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia.

Back to the topic, ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle. Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika. Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?


Moderator chondechonde niachie hata kwa siku 5 watu wanisaidie kunipa mawazo ili niweze kupasua paper langu
 
Last edited by a moderator:
Angalia hapo kwenye red. Siyo kweli kwamba Quran pekee ndiyo inaruhusu mwanamme kuoa wake wengi. Hata Biblia inaruhusu - mfalme Daudi alikuwa na wake 100, mfalme solomon alikuwa na wake 1000 (700 + masuria 300), Yakobo (Israel) wake 2 pamoja na kuzaa na wajakazi 2, etc.

Ungezama zaidi kwenye mada badala ya kuzungumzia Biblia.

Mifano uliyoitoa haimaanishi ndoa za mitala ni ruksa.

Hayo yote ni ubatili. Hakuna dini ya kikristo inayoruhusu ndoa hizo
 
Back
Top Bottom