Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

Binaadamu wana madhaifu yao,sio kila kitu kinachoandikwa kwenye vitabu vya dini binaadamu wanakubaliana navyo,toka zamani sio wa leo tu huwa hawautaki ukewenza,lakini sheria ndio inasema hivyo,na in islam zipo sababu za msingi sana za kuoa mke zaidi ya mmoja;
Na vilevile wanaume mara nyingi huwa wana wanawake zaidi ya mmoja,hat kama hao wengine hawajawaoa.
 
Naongea mim kama mim

Ukiolewa n mume ambae n.musilamu na akataka kuongeza mke wa pili bas shart la kwanza akupe taarifa. Na pia ikunbukwe kuoa mke zaidi ya mmoja sio watu wamejiweke bali ni sheria zipo na pia mke wa pili unaoa ikiwa yafuatayo yapo ndani yako
Una uwezo wa kuwalisha wote
Una uwezo wa kuwapa kile wanachostahili na kuwatoshelezea kimahitaji ya kimwili na mengineyo
Na kama huku utaacha elfu tano bas kwa mke mkubwa uache hiyo elfu tano sio huku elfo moja kule msimbazi.
Na kuoa mke wa pili yataka mshauriane ww na mkeo. Sasa mke akikataa mume hilo sio jukumu lako tena bali kalibeba mkeo. Na akikataa akupe sababu hasa za msingi.

Mim binafsi mume anipe mahitaji yangu stahiki anitimizie nitakacho akitaka kuoa mke wa pili akimudu kutugharamia ruksa.

mmmmhhhh ila kwangu naona itaniumiza kihisia jaman daaaa
 
Hayo masharti yenye wino mwekendu yalikuwa na mantiki enzi za ujima ambao mwanamke alikuwa tegemezi kwa mwanaume. Sasa hivi wanawake wanazidi kupata muamko wa kujitegemea. Kwa masharti ni kwamba kama mwanamke hamtegemei mumewe kwa chakula na mahitaji mengine basi ana haki ya kupinga mke mwenza.

ni kwei ila si kuna kusaidiana? tunazungumzia uke wenza mke zaidi ya mmoja na kwa mantiki hii kisa nafanya kazi bas kwangu asiache hela kwa kua nafanya kazi?? Tunasaidiana akiwa hana bas anazo n.wajibu wake ila et kisa nafanya kaz hata hela haachi nan kasema kwani alipotaka wake wanne maana yake si kwamba anajimudu
 
Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia.

Back to the topic, ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.

Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika.

Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?

Mkuu swali lako la utafiti ni zuri, nakushauri kama una nia ya dhati ya kupata majibu "yanayokaribia na usahihi"; tafuta pia wanawake hata watano waliopo kwenye ndoa za mitala na watano ambao wameshaachika kutoka kwenye ndoa za mitala. Wafanyie mahojiano (kama wataridhia) ili upate taarifa za watu waliopitia hiyo dhana ya ndoa za mitala. Ukifanya hivyo utaongeza sana "validity ya conclusion" yako kuhusu sababu za wanawake kutopenda ndoa za mitala. Kama umefanya kozi ypyote ya "Research methodology" nafikiri utakuwa unajua umuhimu wa kupata "relevant informant/respondent". Kila la heri.
 
mmmmhhhh ila kwangu naona itaniumiza kihisia jaman daaaa

Wala MankaM haiumiz kabisa ila muheshimiane tu nyie wake zake kuna wengine ushindani wa hali ya juu mafumbo asee hii ndo mbaya
 
Last edited by a moderator:
ni kwei ila si kuna kusaidiana? tunazungumzia uke wenza mke zaidi ya mmoja na kwa mantiki hii kisa nafanya kazi bas kwangu asiache hela kwa kua nafanya kazi?? Tunasaidiana akiwa hana bas anazo n.wajibu wake ila et kisa nafanya kaz hata hela haachi nan kasema kwani alipotaka wake wanne maana yake si kwamba anajimudu

Wewe za kwako unapeleka wapi? au assumption yako ni kuwa mume atakuwa na kipato kikubwa kuliko wewe?
 
Mimi kwa wanaume wa sasa na wanawake tulivyoondoka roho za Utu...Uchawi, Mambo yasiyofaa...Wanaume hawatendi uadilifu....NOO NISINGEPENDA...COZ SITAKI STRESS....

Wanakuambia ukiwa na mkemwenza hata kama si mchawi utakuwa mchawi kwasababu utataka kujitibu na kumrudisha mume kama mwenzio ni mchawi...

Sasa hayo mabishano, malumbano siyataki...Akioa ntakaa nikiona Sheeder basi mie nasepa mdogo mdogo...

Asikuambie mtu dunia hii ukiwa na imani hakuna linalokusumbua... Yeye na akaloge amalize waganga na waganguzi ila mie wangu mungu ndo kimbilio langu ila kusema sjui niondoke kisa mke mwenzangu mchawi mwanga no nitaondoka kwa mengine sio hayo
 
Mkuu swali lako la utafiti ni zuri, nakushauri kama una nia ya dhati ya kupata majibu "yanayokaribia na usahihi"; tafuta pia wanawake hata watano waliopo kwenye ndoa za mitala na watano ambao wameshaachika kutoka kwenye ndoa za mitala. Wafanyie mahojiano (kama wataridhia) ili upate taarifa za watu waliopitia hiyo dhana ya ndoa za mitala. Ukifanya hivyo utaongeza sana "validity ya conclusion" yako kuhusu sababu za wanawake kutopenda ndoa za mitala. Kama umefanya kozi ypyote ya "Research methodology" nafikiri utakuwa unajua umuhimu wa kupata "relevant informant/respondent". Kila la heri.

Well said. Maana humu hata umbea wakati mwingine huitwa utafiti. Nadhani mhusika anafanya kazi wazo lako lakini sample size lazima ya watano ni ndogo.
 
Tena anaweza akaondoka mwenyewe bila kumuaga hata huyo mume wake.hahahaa umefika na huku?

hahaha wewe endelea kujiamini tuu wake wadogo wanamambo kwelikweli

wanaweza wakakufanya ukajinyonga.....

mimi kila kona nipo ngoja niende siasani kwanza

wewe kule jukwaa la malovee connection unafanyaga nini hahahahahah
 
Naongea mim kama mim

Ukiolewa n mume ambae n.musilamu na akataka kuongeza mke wa pili bas shart la kwanza akupe taarifa. Na pia ikunbukwe kuoa mke zaidi ya mmoja sio watu wamejiweke bali ni sheria zipo na pia mke wa pili unaoa ikiwa yafuatayo yapo ndani yako
Una uwezo wa kuwalisha wote
Una uwezo wa kuwapa kile wanachostahili na kuwatoshelezea kimahitaji ya kimwili na mengineyo
Na kama huku utaacha elfu tano bas kwa mke mkubwa uache hiyo elfu tano sio huku elfo moja kule msimbazi.
Na kuoa mke wa pili yataka mshauriane ww na mkeo. Sasa mke akikataa mume hilo sio jukumu lako tena bali kalibeba mkeo. Na akikataa akupe sababu hasa za msingi.

Mim binafsi mume anipe mahitaji yangu stahiki anitimizie nitakacho akitaka kuoa mke wa pili akimudu kutugharamia ruksa.

Wewe dada ungefaa sana kuwa mke wangu wa kwanza.
 
Mimi ni mkristo lakini ningependa kuoa wake wawili (na sio zaidi). Nimejitahmini sana nikagundua kuwa mke mmoja hanitoshi. Uwezo wa kuwatendea haki sawa ninao. Suala la kutosheleza mahitaji ya mwanamke kama kigezo cha kuoa wake wengi ni gumu kwani mahitaji hayana kikomo. Nina uwezo wa mahitaji ya msingi kama vile chakula bora, malazi bora, mavazi na elimu. Kwa hili nawapongeza waislamu. Hata hivyo sifikirii kuwa musilamu. Nupenda ukristo kuliko uislamu hivyo sijutii kuwa mkiristo kwani kwenye ukristo kuna mengi mazuri kuliko hilo moja la kuoa wake wengi, japo natamani hili la wake wengi lingeunganishwa kwenye mazuri ya ukristo..
 
Ni lazima wakatae tu; wanaume wenyewe uwezo wa kufanya umepungua;
Mkuu iven Muhammad sex health made him sad, failure to actieve election made him the object of his wife's scorn. Their demand for sex made him feel like eunuch Q.33:53! Instead of addimiting he was impotent, he asked, through reveletion, all his wifes to give up their clamoring for sex telling them, at the same time that his mere presence in their midist should be more satisfying then engerging him with real sex.Q.33:51. He chastified them for demanding increase in their allowances telling them if you desire the life of this world and glitter, than come i will provide for your injoyment by setting you free all together in a handsome manner.Q.33:28!....
 
Wala MankaM haiumiz kabisa ila muheshimiane tu nyie wake zake kuna wengine ushindani wa hali ya juu mafumbo asee hii ndo mbaya

mmmmhhhh tuko tofauti jaman huu huu upenzi ukigundua uko na mwenzio ni timbwili asa najaribu kuangalia iwe mke kabisa looo ni shida..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom