zegebovu1
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 415
- 135
Wanawake wanaweza tu kudai talaka na si kutoa talaka. Mwanaume tu ndo anaweza kuoa wake wawili kwa wakati mmoja na na wote wakajua na mwanaume ukaendelea kudunda kifua mbele na si mwanamke kuwa na waume wawili kwa wakati mmoja na wote wakajua patachimbika. Najiuliza tu wanaume tuna bahati kiasi gani