Tuna wazo sawa
Sikatai mitala kwa kuwa siigopi na ninajiamini,kama anauwezo aniambie mama nataka kuoa basi ruksa,wanawake tuko wengi na tunataka ndoa.
Tuna wazo sawa
Nadhani maandiko ya vitabu vitakatifu yalikuwa/yana malengo mazuri kabisa, tatizo hao watekelezaji ndio ngoma a.k.a ishu.......ni kama ilivyoandikwa msiibe na bado mafisadi wamevaa miwani za mbao.....hawajali.
Nakumbuka hata Marehemu Marijani alikuwa na wimbo...."uke weza mimi sitaki..jama sitaki...tena nimekoma hata kulisikia hilo neno sipendi.....ukeweza ni ufahari kwa wanaume kwetu(wanawake) ni tabu".............
hivi marijani rajabu alipoimba ule wimbo wa "uke wenza mimi sitakii eeh" alikuwa dini gani vilee?! mwenyekujua anisaidie
Pole sana. Kama huwezi kuhimili constructive criticism, jiondoe jf
mkuu unaroho ngumu kwelikweli kama simba vile
utaviweza vitimbi vya mke mdogo
Sikatai mitala kwa kuwa siigopi na ninajiamini,kama anauwezo aniambie mama nataka kuoa basi ruksa,wanawake tuko wengi na tunataka ndoa.
Kweli beibe,
Sema hakyamungu.
kumbe tatizo ni gharama na si kulidhishwa kwa mahitaji yako yoote?
ahahaha wewe je
Hata hapa hakuna neno linalokataza kuoa wake wengi sana sana inakatazwa talaka/kutengana. Jibu swali - hivi Mungu atajipinga mwenyewe kwa kumruhusu mfalme Daudi aoe wake 100 ambaye katika Biblia yote anasifiwa na Mungu mwenyewe kuwa ni mtumishi wake na hata Yesu mwenyewe akajiita mwana wa Daudi, pia mfalme Solomon wake 1000, halafu aje kukataza watu wengine wasioe wake wengi?
mwenyekiti awe Asha Ngedere.Quran ifanyiwe mabadiliko.. Iundwe tume ya mabadiliko
mwenyekiti wa tume awe mwanamke
ahahahahahhahahaaaaah
Mkuu jiulize tu!; jee Mwenyezi kumpa Adam msaidizi.1 alikosea?Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia. Back to the topic, ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle. Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika. Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?
Naongea mim kama mim
Ukiolewa n mume ambae n.musilamu na akataka kuongeza mke wa pili bas shart la kwanza akupe taarifa. Na pia ikunbukwe kuoa mke zaidi ya mmoja sio watu wamejiweke bali ni sheria zipo na pia mke wa pili unaoa ikiwa yafuatayo yapo ndani yako
Una uwezo wa kuwalisha wote
Una uwezo wa kuwapa kile wanachostahili na kuwatoshelezea kimahitaji ya kimwili na mengineyo
Na kama huku utaacha elfu tano bas kwa mke mkubwa uache hiyo elfu tano sio huku elfo moja kule msimbazi.
Na kuoa mke wa pili yataka mshauriane ww na mkeo. Sasa mke akikataa mume hilo sio jukumu lako tena bali kalibeba mkeo. Na akikataa akupe sababu hasa za msingi.
Mim binafsi mume anipe mahitaji yangu stahiki anitimizie nitakacho akitaka kuoa mke wa pili akimudu kutugharamia ruksa.