Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

Hata hapa hakuna neno linalokataza kuoa wake wengi sana sana inakatazwa talaka/kutengana. Jibu swali - hivi Mungu atajipinga mwenyewe kwa kumruhusu mfalme Daudi aoe wake 100 ambaye katika Biblia yote anasifiwa na Mungu mwenyewe kuwa ni mtumishi wake na hata Yesu mwenyewe akajiita mwana wa Daudi, pia mfalme Solomon wake 1000, halafu aje kukataza watu wengine wasioe wake wengi?



mathayo 19

4 Yesu akawajibu, "Je,
hamkusoma katika Maandiko
Matakatifu kwamba Mungu
aliyemuumba mtu tangu mwanzo
alimfanya mwanamume na
mwanamke,
5 na akasema: `Kwa sababu hiyo
mwanamume atamwacha baba
yake na mama yake, ataungana na
mke wake, nao wawili watakuwa
mwili mmoja?`
6 Kwa hiyo wao si wawili tena,
bali mwili mmoja. Basi,
alichounganisha Mungu, binadamu
asikitenganishe."
 
Naongea mim kama mim

Ukiolewa n mume ambae n.musilamu na akataka kuongeza mke wa pili bas shart la kwanza akupe taarifa. Na pia ikunbukwe kuoa mke zaidi ya mmoja sio watu wamejiweke bali ni sheria zipo na pia mke wa pili unaoa ikiwa yafuatayo yapo ndani yako
Una uwezo wa kuwalisha wote
Una uwezo wa kuwapa kile wanachostahili na kuwatoshelezea kimahitaji ya kimwili na mengineyo
Na kama huku utaacha elfu tano bas kwa mke mkubwa uache hiyo elfu tano sio huku elfo moja kule msimbazi.
Na kuoa mke wa pili yataka mshauriane ww na mkeo. Sasa mke akikataa mume hilo sio jukumu lako tena bali kalibeba mkeo. Na akikataa akupe sababu hasa za msingi.


Mim binafsi mume anipe mahitaji yangu stahiki anitimizie nitakacho akitaka kuoa mke wa pili akimudu kutugharamia ruksa.

Sema hakyamungu.
 
hivi marijani rajabu alipoimba ule wimbo wa "uke wenza mimi sitakii eeh" alikuwa dini gani vilee?! mwenyekujua anisaidie
 
Quran ifanyiwe mabadiliko.. Iundwe tume ya mabadiliko

mwenyekiti wa tume awe mwanamke

ahahahahahhahahaaaaah

Wala hujakosea mkuu. Maana kama unafahama ni mwanamke ndie aliyemwambia muhammad kwamba yye ni nabii na hana jini. Ndio baada ya hapo uislam ukazaliwa.
 
Si wanawake wa Kiislam tuu, kwani ni wanawake wengi wa dini zote, makabila yote ambayo yanadumisha mila za Kiafrika huwa hawapendi uke wenza…na hii ni kutokana na wivu wanawake walioumbwa nao. Huwa ukifikiria unachopewa wewe mfano makisi moto moto akapewe mwenzio doohhh unahisi km kufaaaa..
Na pia wanaume wamekuwa hawatendi uadilifu katika hizo ndoa kama jinsi ilivyo amrishwa…hivyo wengi wa wanawake hawapendi.





Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia.

Back to the topic, ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.

Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika.

Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?

 
avatar113707_3.gif

looo.....ooo!!
 
Kuoa hawaoi, ila kuzini na michepuko wanazini teh




Hata hapa hakuna neno linalokataza kuoa wake wengi sana sana inakatazwa talaka/kutengana. Jibu swali - hivi Mungu atajipinga mwenyewe kwa kumruhusu mfalme Daudi aoe wake 100 ambaye katika Biblia yote anasifiwa na Mungu mwenyewe kuwa ni mtumishi wake na hata Yesu mwenyewe akajiita mwana wa Daudi, pia mfalme Solomon wake 1000, halafu aje kukataza watu wengine wasioe wake wengi?
 
mathayo 19:

7 Lakini wao wakamwuliza, "Kwa
nini basi, Musa alituagiza
mwanamke apewe hati ya talaka
na kuachwa?"
8 Yesu akawajibu, "Musa
aliwaruhusu kuwaacha wake zenu
kwa sababu ya ugumu wa mioyo
yenu.
9 Lakini haikuwa hivyo tangu
mwanzo. Basi nawaambieni,
yeyote atakayemwacha mke wake
isipokuwa kwa sababu ya uzinzi,
akaoa mke mwingine, anazini."

Mstari wa nane is gramatic structure. Yesu alikuwa anazungumza na wanaune wengi hivyo asingesema aliwaruhusu kuwaacha mke wenu. Lazima iwe wake zenu. Hata hivyo msisitizo wa kuwa na mke mmoja ni suala la kihistoria kukwepa pengine migogoro ya kifamilia huko nyuma na kanisa likaamua kupitisha sheria au utaratibu wa mke mmoja mume mmoja. Wangejua kuwa leo watu watakuwa na michepuko hivi wasingeweka haka kautaratibu. Ni sheria ya kanisa kwamba pengine mwenye mke mmoja ilionekana ana muda mwingi wa kumtafakari Mungu maana hajihangaishi na kuwaridhisha wake wengi kimwili na mahitaji tofauti na leo wenye mke mmoja eana michepuko mingi.

Bible ktk OT haina shida lakini NT haikuzungumza kabisa. Tukubali kuwa hata waislamu si wanaweke wote wako radhi kuchangia mume na si wote wana uwezo kiroho kuruhusu mume kuoa mke wa pili na kuanza kuchangia issue au kuchapana threesome.
 
wengii wameelimika (wameenda kidato), wana kazi zao na wivu
 
Kweli beibe,







Naongea mim kama mim

Ukiolewa n mume ambae n.musilamu na akataka kuongeza mke wa pili bas shart la kwanza akupe taarifa. Na pia ikunbukwe kuoa mke zaidi ya mmoja sio watu wamejiweke bali ni sheria zipo na pia mke wa pili unaoa ikiwa yafuatayo yapo ndani yako
Una uwezo wa kuwalisha wote
Una uwezo wa kuwapa kile wanachostahili na kuwatoshelezea kimahitaji ya kimwili na mengineyo
Na kama huku utaacha elfu tano bas kwa mke mkubwa uache hiyo elfu tano sio huku elfo moja kule msimbazi.
Na kuoa mke wa pili yataka mshauriane ww na mkeo. Sasa mke akikataa mume hilo sio jukumu lako tena bali kalibeba mkeo. Na akikataa akupe sababu hasa za msingi.


Mim binafsi mume anipe mahitaji yangu stahiki anitimizie nitakacho akitaka kuoa mke wa pili akimudu kutugharamia ruksa.
 
Mstari wa nane is gramatic structure. Yesu alikuwa anazungumza na wanaune wengi hivyo asingesema aliwaruhusu kuwaacha mke wenu. Lazima iwe wake zenu. Hata hivyo msisitizo wa kuwa na mke mmoja ni suala la kihistoria kukwepa pengine migogoro ya kifamilia huko nyuma na kanisa likaamua kupitisha sheria au utaratibu wa mke mmoja mume mmoja. Wangejuavkuwa leo watu wanhekuwa na michepuko hivi wasingeweka haka kautaratibu.

Bible ktk OT haina shida lakini NT haikuzungumza kabisa. Tukubali kuwa hata waislamu si wanaweke wote wako radhi kuchangia mume na si wote wana uwezo kiroho kuruhusu mume kuoa mke wa pili na kuanza kuchangia issue au kuchapana threesome.

hii ni bible unatakiwa uelewa sio kukariri ndio maana hakuna mashindano ya kukariri
kama umetafsiri hivyo sawa naona unataka ligi na mimi kitu ambacho huwezi na mimi sitaki
 
Na ndio maana mwanamme anaweza kuzalisha hata akiwa na miaka 90 km ananguvu....
Huu ni ukweli usiopingika kuwa kuna wanaume ambao mwanamke mmoja hamtoshi...Kutokana na maumbile yao walioumbwa....

Na endapo akiwa na mwanamke mmoja huyo mwanamke hatomuweza...Huko naniiii kutachubuka kwa shughuli...Wanawake ni wakukinai mapenzi...Ila mwanaume hakinai...





Angalia hapo kwenye red. Siyo kweli kwamba Quran pekee ndiyo inaruhusu mwanamme kuoa wake wengi. Hata Biblia inaruhusu - mfalme Daudi alikuwa na wake 100, mfalme solomon alikuwa na wake 1000 (700 + masuria 300), Yakobo (Israel) wake 2 pamoja na kuzaa na wajakazi 2, etc.
 
hii ni bible unatakiwa uelewa sio kukariri ndio maana hakuna mashindano ya kukariri
kama umetafsiri hivyo sawa naona unataka ligi na mimi kitu ambacho huwezi na mimi sitaki

Pole sana. Kama huwezi kuhimili constructive criticism, jiondoe jf
 
Jamani ongeeni kwa wema...si kukashifiana....Jibizaneni kwa HOJA inatosha..

Nawapendeni






Kinacho fanyiwa marekebisho ni kitabu cha paul mgalatiaa

Na ss una furahia mabadiliko yanafanyika hiko vaticanoo
Maanaa utaolea na yule ba.sha wakoo openly
 
kwanza sheria nyingi za kiislamu zimepitwa na wakati na zilitungwa na wanaume kwa kiasi kikubwa wanawake wengi wa kiislamu ni shuleless hata wanaume wao pia, hiyo ndo mbinu wanayotumia kuwa control wanawake chukulia kisa cha Malala hivyo kwenye familia nyingi za kiislam mwanamke ni chombo tu hana maamuzi japo wanaaema kuoa mke wa pili kunahitaji ruksa ya mke mkubwa lakin hiyo ni danganya toto sababu lazima mke akubali ili nayr aendelee kuishi na jamaa.

kwanini ndoa hizo zinapingwa sasa;
answ; only education mwanamke aliyesoma hawezi kubali ujinga. wa kushare mme hatari zake zinajulikana unajua sasa magonjwa ni mengi ndoa ya mke mmoja na mme mmoja ni rahiso kijicontrol kuliko mkiwa chain akimess mmoja garama mnalipa wote.
 
Na vipi kuhusu upendo? Maana upendo haugawanyiki!!
 
Back
Top Bottom