Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
umeona sasa tukiwafuata mnasema tunataka mteremko,viumbe nyie
hahaha sasa wewe unataka uje mikono onyesha angalau unaweza kufanya kitu kwa ajiri yangu
umeona sasa tukiwafuata mnasema tunataka mteremko,viumbe nyie
hahaha sasa wewe unataka uje mikono onyesha angalau unaweza kufanya kitu kwa ajiri yangu
Unataka kumtokea?
Nioneshe nini jamani kama kifanyio ninacho sasa kingine nini
sasa we si umeshasema unajiweza Ila kiukweli laiti kama wanaume tungekuwatunaweka kigezo cha ugolikipa mbele kusingekuwa na ndoa,maana wapo wamama kibao magolikipatutakula kifanyio na kodi ikiisha utatumia kifanyio kuongea na baba mwenye nyumba au
nyie ndo wale wale tunaowaita ma KB.Mbona bahati kama hizi huwa hazipiti huku mtaani kwangu.
Yani mwanamke nikuogope kisa unamali huu ni udhaifu wa miaka mia moja...
Wanaume wa hivyo hawastahili sifa ya uanaume..
Mwanaume wa kweli hujiamini kwenye kila jambo.
Mwanaume asiyejua kitu kinacho control akili za mwanamke ndo utakuwa muoga kwenye jambo hilo.
Mwanamke mwenye mali zake ananifaa sana mi mwanaume bahili...
sasa we si umeshasema unajiweza Ila kiukweli laiti kama wanaume tungekuwatunaweka kigezo cha ugolikipa mbele kusingekuwa na ndoa,maana wapo wamama kibao magolikipa
Baelezee bana yaani hawa wanaume wa siku hizi sijui ndo kujiona wajanja,hata wanachotakiwa kufanya hawakielewi, mapenzi yamekuwa kama biashara, kwa kuwa napendwa basi nisifanye kazi nigharimiwe tu, unashangaa mtu kila siku hana hela, kufanya kazi hataki anataka ajira za tra, tpdc, pccb, tanroad baaaaaas,hata kulima tu hawezi, mtu wa hivyo unamvumilia ili iwe nini, unamchan live akafanye kazi, hatutakula mapenzi
hahahahaha unapenda mtelemko jirani
ndo mana hupati bahati kama hizo
Ukiwa na mwanamke wa hivyo unapunguza kuhudumia kila mtu anakufa na chake,, tunakutana pale unapokuwa tumepandwa na mihemko.
nyie ndo wale wale tunaowaita ma KB.
hahaha kama ndo hivyo utasubiri sanaaaa
Nitampata tu hata kama itanichukua muda,, jirani yangu.
kama najiweza haimanishi we ndo ukae tu kusubiri nikuleteee kila kitu chakarika ujenge heshima
hao wamama magolikpa ni haki yao maana wanafuata maagizo ya mungu
sio wote wa aina hiyo japo ni kweli asilimia kubwa wana hizo tabia,
kwanza wengi huaminimwanamke kupata mali si nguvu yake mwenyewe (anaweza kuwa kawezeshwa na mwanaume mwingini) kwa hiyo kuhofia kuwa na mahusiano na girl wa mtu!!
pia inachangiwa na wadada wengi wenye kuweza kujimudu kuwa na tabia za kujisikia na kuwa jeuri kiasi fulani, kwa wanaume wengi hatupendi kutawaliwa au kumilikiwa kimasinyango!
nina meng ila nadhani na wengne niwape nafasi pia juu ya hili
Good day!!
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?
Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
Kwahiyo nyinyi ambao siyo magolikipa,mnavunja maagizo ya Mungu!?