Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

Skillionare. Asante sana kwa kunikumbusha ishu ya Attraction. Siamini kuwa kuna mwanaume anayemuogopa mwanamke eti kwasababu ana mali. Kitu cha kwanza ambacho huwa kinatukwaza ni kugundua kuwa mali alizonazo mwanamke ni za mwanaume mwingine. Hnestly hapo mambo hayaend, hata kama utampendaje mwanaume haitosaidia kwani kwa mwanaume anayejielewa hawezi kukaa hapo na akiondoka mwanamke huona kama anaogopwa, la hasha, ni kwasababu mwanamke mwenye mali za kuhongwa huwa na kiburi. Mwanamke anayejielewa haachwi kwani hujua namna ya kuhandle mambo yake. So kwa wadada mnaoishi kwa kuhongwa mjue kuwa mtaishia kutumiwa hadi basi.
 
Last edited by a moderator:
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

umaskini unakusumbua
 
Sio kuwa nimemalizia vibaya....Km ilivyo binadamu, unahitaji kula, kunywa, kulala...Pengine tuna nyumba ya kupanga, tunahitaji kula, nk....Kweli kuna wanaume ambao hata kujishughulisha hawataki...Wao wanataka wakiamka wakae kijiweni..hiyo siyo....Km umempata mwenzio ambaye maisha amejitahidi basi we mwanaume na wewe jitahidi kupiga madili huku na kule japo uongeze vijisenti...Sasa ukimtegemea tuu mwanamke aaahhh...Si vyema ipo siku pia mwanamke kweli atachoka kukuletea tuu japo kakupenda....Siku hizi hakuna cha ugolikipa katika maisha...

She has a point! Bongo mafisi wengi!
 
huwa wanaogopa kauli kama hiyo hapo kwenye blue na zingine zinazofanana na hizo.

Wewe mdada unaujua ukweli. Uko sahihi kabisa. Sisi wanaume hatuwezi weka mkazo km alivyodhirisha jinsi ladies wengi wanataka.
 
Mara nyingi mwanamke anapenda adekezwe,alelewe, atumikiwe, ni mnyonge ndivyoa alivyoevolve toka mwanzo, inapotokea mwanamume unamzidi kipato, akaona na nyendo zako siyo zenyewe seminar, kurudi nyumbani usiku mrefu na ukiulizwa unajibu mkato basi ujue kijana wa watu atajua mapenzi hauna, mapenzi hayajifichi yanaonekana wazi tu, na yakipungua inadhihirika tu. Ukiangalia wanawake wengi wenye PESA, achana na vijisenti vya kubadili usafiri na mboga hizo ni basic needs tu, historia zao za mahusiano si nzuri sana.

hako ni kamchango kangu kadogo tu wakuu.
 
Mbona bahati kama hizi huwa hazipiti huku mtaani kwangu.

Yani mwanamke nikuogope kisa unamali huu ni udhaifu wa miaka mia moja...

Wanaume wa hivyo hawastahili sifa ya uanaume..

Mwanaume wa kweli hujiamini kwenye kila jambo.

Mwanaume asiyejua kitu kinacho control akili za mwanamke ndo utakuwa muoga kwenye jambo hilo.

Mwanamke mwenye mali zake ananifaa sana mi mwanaume bahili...
 
Natamani nipate mwanaume alienizidi kila kitu,kuanzia umri,elimu na pesa....
Otherwise huwa najisikia kuna kitu sio okay..
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

kila siku mnasema mnataka wanaume wanaoweza kuwatunza....sasa mtu unamzidi uwezo atakutunza vipi???subiri aliekuzidi uwezo aje akutunze,wasio nacho wanatafuta wanyonge wenzao....
 
Hiyo ni kawaida dada hata mimi huwa nawaogopa ingawa kiukweli hata mm bonge la hb,lakini angalizo mwanamke mzuri sana ni ngumu kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli maana huwa tunaamini mnatakwa na wengi,hayo ni mawazo yangu
 
Napenda niwe na mwanaume tunayeendana sawa au anizidi kidogo ili tubalance maisha yetu, usiombe nikuzidi utasema po!
 
Hiyo ni kawaida dada hata mimi huwa nawaogopa ingawa kiukweli hata mm bonge la hb,lakini angalizo mwanamke mzuri sana ni ngumu kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli maana huwa tunaamini mnatakwa na wengi,hayo ni mawazo yangu

nimependa hapo kwenye u HB tu
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

Ni mtizamo wako tu huo..!
 
Me ninadukuduku, Sielewi
kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza
kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu
tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume
akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na
mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua
utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu
jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
wengi huogopa kutupiwa virago nje afu mara nyingi madume cc hupenda kumkoromea mwanamke kwa mwenye cash ukjaribu tu unaambiwa njia nyeupeeeeee sepa
 
Back
Top Bottom