Ndo maana hamuolewi.mxxxx
Umekutana na masharo baro!tupo ambao hatuogopi wanawake hata kama wewe ni Joyc BandaMe ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?
Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
tatizo baadhi wanawake wengi wenye kipato cha juu ni wajeuri. Viburi .zarau.michepuko na kila aina ya balaa
Mwana unafanana kla ktu ktk maisha ya ndoa Kama mm nimeipenda hii... Mwme hutakiwi kulea ujnga kamwe no matter how much money ya wife own. Tena Hapo ktk attraction kuna ile ---- ATTRACTION... Ndo mpango mzma. We kdume ukjilet down yourself ksa Malaya anazo atakurudia Na mieanamume ya kazn kwake kla uchao. Cheza Nate michezo yote ya hatar hata iktokea analeta blah blah unasepa bla hill.mbona mm wife kanizidi kila kitu lakini huwa anapiga magoti kuomba msamaha anaponizingua.....kuna wanaume wengine tuliumbwa vibaya haijalishi una nini au ukoje ,status ya mume na mke iko palepale huwa sileagi ujinga kabisa na kuna kituinatwa Attraction...ATTRACTION HAS NO CHOICE
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?
Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
GARI UNALO HAPO NA NYUMBA UNAYO... jamani na bado vijana wanazembea kama hujapata ni checkMe ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?
Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
utakuwa na msimamo wakati huna hela my dia?? we mwenyewe kila siku unasema hela mbele kama tai uanaume utatoka wapi na kila kitu mwanamke kakukzidi hata mwenyewe ukitaka kucommand unashiindwa!! mwanaume wa kweli haiwezekani kila siku ikawa ni mtu wa kupewa tu hataka kama mkeo kakuzidi inabidi na wewe uwe na chochote kitu,a man should have a voice kwa maana hiyo lazima uwe na msimamo na hoja za msingi
wanawake wengi hufurahia mapenzi pindi waletewapo vijizawadi vidogovidogo toka kwa waume zao, vile vile mwanaume hufurahi sana pindi anunuapo zawadi kwa ajili ya mkewe/mpenziwe, sasa itakuaje ukigeuza ubao, si ndio mwanaume suruari hayo, hakuna raha kuishi na mwanamke anayekuzidi kipato labda unizidi elimu lakin kwenye pesa hiyo haiko vizuriingekuwa ukitongoza huonekani tofauti...angalao ungeangalia mwanaume unayempenda ukampa darasaaa wkt unamtongoza...Ila kwa vile wanaume ndio wanatongoza basi inabidi tutulie tuwasubirie waje hata km ni miaka kumi...Wanaoogopa kukutongoza sababu uwaache tuu..
u can not have a voice while u dont have power for sure... money is every thingutakuwa na msimamo wakati huna hela my dia?? we mwenyewe kila siku unasema hela mbele kama tai uanaume utatoka wapi na kila kitu mwanamke kakukzidi hata mwenyewe ukitaka kucommand unashiindwa!! mwanaume wa kweli haiwezekani kila siku ikawa ni mtu wa kupewa tu hataka kama mkeo kakuzidi inabidi na wewe uwe na chochote kitu,
Kumbe tupo wengi.. Inabidi mwanaume akianza kukutongoza unamuuliza kwanza kipato chake na asset zake ili ujue kama yuko juu yako ndio umkubali... Mbona majanga!!!
u can not have a voice while u dont have power for sure... money is every thing