Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

Ok..basi ndio maana mahusiano mengi siku hizi hayadumu. Mimi msichana akiwa anaangalia vitu vyangu huwa sivutiwi nae kwan najua anataka kunifanya project..Kupanda na kushuka kiuchumi ni janga la dunia nzima hata serikali tajiri kama US huwa zinakumbwa na janga hili, sasa kama mimi nikishuka na huyu mdada alikuja sababu ya hivyo vilivyopungua unadhani atabaki na mimi? Bora waangalie my content..nina nini kichwani, je ni mpiganaji au mzembe tu? wakifanya hivi nadhani tutafika pazuri.

Kila ninapokuambia "kundi bora" hii ndio moja ya tafsiri zake, hao wanaodaiwa wanaogopwa huwa wanawinda hiki kitu, kama unacho baaas ashakum si matusi unaweza kufungua NGO ya kutatua shida zao.........!!!!!!!
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari

Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

wanaume tungekuwa na Roho kama za wanawake sijui ingekuaje? Wanawake kula kulala wapo kibao lakini tupo kimya,nyie kupata tu mnakuja hadi hapa kutangaza.hamuogopeki ila nadhani hamupendwi na mkipendwa hamjui kumpenda mtu unakuwa unawaza tu kuwa am somebody.Hata kwenye utawala kuna first lady lakini sijui kama kuna first man.
Wanawake wa sampuli yenu ni kuwagegeda na kusepa.Na katika hapo kwenye kugegedwa mnagegeddwa kisawasawa
 
Mwanamke yupi humu JF ana vijisenti na kagari hata nimuogope. Hebu ani-pm nione jeuri yake! Ebo...acheni mijigambo bhana.
 
Ni kweli, let love lead, but school fees won't be paid by love.

Mapenzi yana nafasi kubwa sana ya kuleta furaha, lakini pesa inafacilitate baadhi ya mambo.
Mkuu uko sahihi...simaanishi niwe sina hela kabisa, namaana nina kazi ya kawaida labda, najimudu kama mtanzania wa kawaida, naweza mudu vitu kama school fees na matibabu..Sasa dada zetu wanataka wakufananishe na flani? mbona una vitz wenzako wana Harrier? hapo ndipo ninaposhangaa na kuhoji kama anajua historia ya huyo mwenye harrier...
Kupambana na kupitia machungu ya utafutaji yanajenga uimara wa penzi na ni vigumu kusalitiana.
 
Dont keep banking on someone's emotions!!!!!!
Kupitia machungu sio guarantee ya kuimarisha penzi wala kutosalitiwa!!!!!!!!

Yesu alipitia machungu sanaaaa tu, aliwapenda saaaana watu wake, lakini alisalitiwa masikini!!!!! Utaambiwa ili neno litimie.......you are not exceptional son!!!!!
 
Kila ninapokuambia "kundi bora" hii ndio moja ya tafsiri zake, hao wanaodaiwa wanaogopwa huwa wanawinda hiki kitu, kama unacho baaas ashakum si matusi unaweza kufungua NGO ya kutatua shida zao.........!!!!!!!
Mkuu dada zetu ...hawataki kujua namna ya kupata viazi kwa ajili ya chips wao wanataka chips zikiwa tayari..........
Vitu vya bei ghali na maisha feki tu...Tutumie milioni mbili kwa mwezi wakati mshahara laki nane. wapi na wapi? tutafika kweli...wewe uende na content zako atakuelewa kweli? hataki kusikia tuta.....mambo ya future tense hawatumii wanataka present continous tense..................twende tukanunue gari lako, twende tukafungue saloon yako..twende tukapumzike Dubai...hapa mbona darling, sweet...baby zitakuhusu.
 
Dont keep banking on someone's emotions!!!!!!
Kupitia machungu sio guarantee ya kuimarisha penzi wala kutosalitiwa!!!!!!!!

Yesu alipitia machungu sanaaaa tu, aliwapenda saaaana watu wake, lakini alisalitiwa masikini!!!!! Utaambiwa ili neno litimie.......you are not exceptional son!!!!!
Sawa sawa..ngoja tuishi kimachale na mguu mmoja ndani mwingine nje..anything can happen..
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari

Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

Utakua unaishi mkoani wewe. Hebu ingia anga zangu uone. Daslama hata pesa ya kulipia Guest utatoa wewe. We njoo ukutane na miamba ,watoto wa mujini. Hata hicho kigari na nyumba utauza navilevile unamwagwa. Kiruuu. Unachekesha kweli wewe.
 
Hakuna vita mkuu ni kujadili jinsi ya kujenga!!!!!!!

Utaua mazee
 
Ukimkuta mwanamke mwenye rika la kuolewa akawa na hivyo vitu na hana mtu kabisa ni ngumu sana mara nyingi utakuta kuna ishu nyuma ya pazia,wadau wanavyopenda kitonga ckuizi so rahisi,kwanza me huwa naamini hakuna mwnamke asiye na m2 wake,ila masela wengi huwa hawana wanawake kabisa kwa kuogopa mambo mengi ikiwemo mizinga!
 
Nakubaliana na hoja yako
Anayemlipa mpiga zumari ndie anaechagua wimbo! Huwezi kuwa na kibesi (say) kwenye nyumba ilhali mkeo ndio mtafutaji wa kila kitu kwenye nyumba.
point.!
kwa kile kipindi cha kwanza kwanza mnapoanza mapenzi, mwanamke atakuwa humble kidogo kwako kiukweli, but kadiri siku zinavyoenda kama mwanaume hatokuwa na akili ya kujibeba kiuchumi, ipo siku ataropokewa shits tu!

wanawake ni rahisi sana kujisahahu haswa linapokuja suala la yeye kuwa na high income...
 
huwa wanaogopa kauli kama hiyo hapo kwenye blue na zingine zinazofanana na hizo.

Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia.

Wanawake wengi wanaomzidi mwanamume kwa kipato au madaraka huwa kwa kujua au kutokujua wanatoa hivi vi "remarks" vya kusimanga....hivyo wanaume wanaona afadhali watafute wa level zao!
 
Dont keep banking on someone's emotions!!!!!!
Kupitia machungu sio guarantee ya kuimarisha penzi wala kutosalitiwa!!!!!!!!

Yesu alipitia machungu sanaaaa tu, aliwapenda saaaana watu wake, lakini alisalitiwa masikini!!!!! Utaambiwa ili neno litimie.......you are not exceptional son!!!!!

Baelezee bana yaani hawa wanaume wa siku hizi sijui ndo kujiona wajanja,hata wanachotakiwa kufanya hawakielewi, mapenzi yamekuwa kama biashara, kwa kuwa napendwa basi nisifanye kazi nigharimiwe tu, unashangaa mtu kila siku hana hela, kufanya kazi hataki anataka ajira za tra, tpdc, pccb, tanroad baaaaaas,hata kulima tu hawezi, mtu wa hivyo unamvumilia ili iwe nini, unamchan live akafanye kazi, hatutakula mapenzi
 
Kwenye mapenzi, trust your instincts, mtu anayekupenda for real unamjua sana, sema huwa tunawachunia for some reason. Labda unamwona kiwango duni kwako, sijui blah blah gani. Na wachunaji mnawajua saaaana, ila kwa sababu fulani fulani unaamua kwenda naye tu.

Ila ukipata akupendaye, utashangaa wasi wasi wote unaisha, hutawazia tena suala la nani ana pesa zaidi kati yenu. Utajikuta tu unafanya kazi kwa bidii ili uwe a better person kila siku.
Sawa sawa..ngoja tuishi kimachale na mguu mmoja ndani mwingine nje..anything can happen..
 
Kwenye mapenzi, trust your instincts, mtu anayekupenda for real unamjua sana, sema huwa tunawachunia for some reason. Labda unamwona kiwango duni kwako, sijui blah blah gani. Na wachunaji mnawajua saaaana, ila kwa sababu fulani fulani unaamua kwenda naye tu.

Ila ukipata akupendaye, utashangaa wasi wasi wote unaisha, hutawazia tena suala la nani ana pesa zaidi kati yenu. Utajikuta tu unafanya kazi kwa bidii ili uwe a better person kila siku.
Mkuu, hii inatupa taabu sana, hasa kwa sisi ambao bado kuoa na tuko kwenye dead line, Tunamshukuru Mungu maisha sio mabaya lakini tatizoni kumpata mtu ambaye hata angalia ulicho nacho na kukupenda na kukuthamini wewe kama wewe...Wasichana wa sasa wanajua kuigiza sana, sijui but Mungu atujalie na kutupa muongozo katika kupata mke bora.
 
Back
Top Bottom