Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
sasa mwanaume unataka uwe na sauti wakati hata hela ya mboga huwezi kuacha! kama huna just kuwa mpole, simple!
Ndo maana hamuolewi.mxxxx
sasa mwanaume unataka uwe na sauti wakati hata hela ya mboga huwezi kuacha! kama huna just kuwa mpole, simple!
...umezungukwa na wasiojiamini...hama!
Wanawake wakipata Vijisumni wanajiona ndio kila kitu wakiwa kwenye Jeep kama la kokutana utamtaka? Au kwenye Envoque kama ja jidee si utasugua gaga kumpata?
mmmh!! kumbe nawe umo eeh!!!
haaa mkuu OLESAIDIMU hii imenichekesha sana
tatizo huwa liko kwenye management, who will be the voice?.. always a man will force to be, but how? the sterling is under the woman side, can you bark to her?. wont you be pushed out?!
Wanatusumbua tu hawa, wakianza kuvaa designers na mawigi ya Brazilian na high heels na wakiendesha Freelanders wanajiona washakuwa keki......
The truth is, sijawahi tishwa na mwanamke as long as namtaka nitampata tu na kazi anayofanya au kipato chake won't really matter.
Lakini kitu cha kwanza, unanifaa??
Wanawake wanatafuta a successful man, and I don't blame them, that's the way nature has set them up. Lakini wanaume tunatafuta someone who is attractive and beautiful and can make a good mother, not an Oprah Winfrey. Sasa mwanamke akiwa na hela zake, ajiulize pia hizo quality nyingine anazo?
Mkuu..nyinyi mnataka haki sawa, sivyo? je kuna wanawake wangapi ni magolikipa na wala hakuna cha ajabu? Mbona nyinyi mnakaa vibarazani tu wakati waume zenu wako kwenye day waka? kwa hili acha nature ifanye kazi....Sisi tukikaa home mtuletee utasikia marioo....hakuna haki hapa.Sio kuwa nimemalizia vibaya....Km ilivyo binadamu, unahitaji kula, kunywa, kulala...Pengine tuna nyumba ya kupanga, tunahitaji kula, nk....Kweli kuna wanaume ambao hata kujishughulisha hawataki...Wao wanataka wakiamka wakae kijiweni..hiyo siyo....Km umempata mwenzio ambaye maisha amejitahidi basi we mwanaume na wewe jitahidi kupiga madili huku na kule japo uongeze vijisenti...Sasa ukimtegemea tuu mwanamke aaahhh...Si vyema ipo siku pia mwanamke kweli atachoka kukuletea tuu japo kakupenda....Siku hizi hakuna cha ugolikipa katika maisha...
Nakubaliana na hoja yako
Anayemlipa mpiga zumari ndie anaechagua wimbo! Huwezi kuwa na kibesi (say) kwenye nyumba ilhali mkeo ndio mtafutaji wa kila kitu kwenye nyumba.
Kumbe tupo wengi.. Inabidi mwanaume akianza kukutongoza unamuuliza kwanza kipato chake na asset zake ili ujue kama yuko juu yako ndio umkubali... Mbona majanga!!!
Mkuu..nyinyi mnataka haki sawa, sivyo? je kuna wanawake wangapi ni magolikipa na wala hakuna cha ajabu? Mbona nyinyi mnakaa vibarazani tu wakati waume zenu wako kwenye day waka? kwa hili acha nature ifanye kazi....Sisi tukikaa home mtuletee utasikia marioo....hakuna haki hapa.
umeona eeeeh
au unajishusha kujifanya huna kitu ili atambue hayo mbele ya safari
Mbona bahati kama hizi huwa hazipiti huku mtaani kwangu.
Yani mwanamke nikuogope kisa unamali huu ni udhaifu wa miaka mia moja...
Wanaume wa hivyo hawastahili sifa ya uanaume..
Mwanaume wa kweli hujiamini kwenye kila jambo.
Mwanaume asiyejua kitu kinacho control akili za mwanamke ndo utakuwa muoga kwenye jambo hilo.
Mwanamke mwenye mali zake ananifaa sana mi mwanaume bahili...
Umeshampata nipo hapa..
Mafanikio yako sio kigezo cha kupendwa,there is life beyond attraction n' sex! Usiforce upendwe kisa una mafanikio,vipo vingine vya ziada so jipangae
Sio hvyo mkuu..haya maisha ni kuasidiana, kipato kisitutenge na kutufanya tusiwe na love within us..Acha mapenzi yalete faida zake kama kusaidiana na kushauriana. Hizo ndio faida za mapenzi sio kugegedena tu na kupeana stress.Never say that again son......hapo sasa utakuwa kama wao!!!!!!
Hivi na wewe na ujanja wakooo wooooote hujui kutofautisha mwanaume, wa kiume na wavulana regardless of age!!!!!!!!!????
Mpaka uingize aspect ya property ownership, access, control and benefit!!!!!!!
Hebu changamka mjini hapa utalala nje na ufunguo unao!!!!!!
Sio hvyo mkuu..haya maisha ni kuasidiana, kipato kisitutenge na kutufanya tusiwe na love within us..Acha mapenzi yalete faida zake kama kusaidiana na kushauriana. Hizo ndio faida za mapenzi sio kugegedena tu na kupeana stress.