Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

wanawake wengi hufurahia mapenzi pindi waletewapo vijizawadi vidogovidogo toka kwa waume zao, vile vile mwanaume hufurahi sana pindi anunuapo zawadi kwa ajili ya mkewe/mpenziwe, sasa itakuaje ukigeuza ubao, si ndio mwanaume suruari hayo, hakuna raha kuishi na mwanamke anayekuzidi kipato labda unizidi elimu lakin kwenye pesa hiyo haiko vizuri

mwanaume yeyote nayejielewa hawezi kukubali hilii litokee na limtawale daily na aone kwamba ni kitu cha kawaida
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari

Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

Waambie bwana! Wawe kama mimi,sina pesa nyingi ila nagegeda vizuri mpaka wanawake wenye elimu na pesa zao wananigombania.alafu najiamini balaa,napigaga bao 7 kwa siku! ha! ha! try me!
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari

Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

Level of confidence ipo chini sana kutokana na kutojiamin either kutokna either na level ya Elimu au Pesa
 
mimi ni mwanamme lkn jambo hili linanisikitishasana mdada wa watu kajitahidi akawa na kila kitu kutokana na kutafuta kwingi ame expire sasa anatongoza kavulana kachovu kanakubali kwa ukata hakakumpenda jidada linakalea hdi kanaoka kwa vile jidada si chaguo lake kanaanza kutauta chaguo lake kakifumaniwa kananyanyanywa hadi simu.kama mdada wewe unazo tongoza aliye kuzidi umri kwa sana hadi ajisikie kuwaana mtoto sio ahisi ana sugar mumy kumbuka mume huchagua mke huchaguliwa ukichaguliwa utadhibitiwa ukimchagua mume utamdhibiti waume hawakubali.mke mwenye nazo anafaa uhawara tu si kuwa mke.mwanaume ni kunguru hafugiki.wanawake wengi wenye pesa hawavutii hata huyo sharobaro hamfuati huyo bali pesa zake .akitokelezea mchuma nini anatafuta anye vutia.lakini kiukweli no fomula
 
hatuwaogopi ila mna dharau sana, ukianzia hata elimu, ukute wewe una master na mume ana dilpoma, ni shiida ndani manake mkikorofishana unaanza mwanaume gani hata degree huna, mambo gani hayo, mtabaki hivyo hivyo kugegedwa na kutemwa, sis ni maskini jeuri bana

kweli kabisa ukiwaona wanavyoongea kwa ustaarabu humu utadhan ndivyo walivyo. Jichanganye weka ndan halaf siku mkosane utajuta kumfaham
 
Tatizo nikuwa baadhi yetu sisi wanawake hupenda kuonekana ndio kilakitu katika famia.hivyo basi mwanaume akikuona uko hivyo nivigumu kukuoa.
 
wanao waogopa ni sokolooo... kama unajiweza 2natumia akili 2 na ww uta2lia 2
 
so in other side we men have the right to fear at least a little big girls wanaojimudu mwanamue huwezi kuzidiwa kila kitu na m-ke wako alafu uishi comfortably

to be a man unatakiwa ufanye kazi kwa bidiii.. kuogopa mwanamke anayejimudu si sawa take it as a challenge and put stratege that all
 
to be a man unatakiwa ufanye kazi kwa bidiii.. kuogopa mwanamke anayejimudu si sawa take it as a challenge and put stratege that all
i can see tunaenda in the same conclusion..
kuogopa mwanamke anaejimudu kwa sisi wanaume tunamaanisha kutokuwa comfortable na hakuna mwanaume anaetaka kuwa uncomfortable kwa kitu anachokitawala thats y sometime its better kuwa comfortable na wanawake wengine uliyewazidi kipato kuliko waliokuzidi kipato ila pia kama unaweka strategies kama ulizosema za kwenda levo na mwanamke na zikabuma hapo ndipo uncomfotability inapoanzia hasa ukimpata mwanamke asiejielewa na hata sometime ukimpata anaejielewa bado kuna kitu kinakuwa kinakutesa physiological torture hasa wanaume wenzako wanapokutania mtaani/barabarani/maskani kuhusianamwanamke kuchukua role yya baba nyumbani (financially)let it be utani wa serious au jokes.
 
Kama una maisha yako na una uwezo wa kulipa bills zote bila matatizo, hela za mwanamke hazikuhusu ila kama atataka kutoa mchango wake kwanini uogope?
Au kama wewe una uwezo wa kuwapeleka watoto shule na yeye akasema ataongezea ili waende shule bora zaidi kuna tatizo gani?
Mwanamke hawezi kukudharau kama anaona kuwa una uwezo wa kujikimu. Huwa wanadharau kama yeye analipia startimes, luku, misosi na kila kitu halafu wewe unapozi na remote huku umepiga msuli mkono mmoja unakuna korodani.
Hapo ndiyo dharau inapoanza.
 
Mimi nimeshuhudia wengi tu, kiufupi ni kwamba kama unataka kuoa mwanamke aliyekuzidi kipato, tafuta sehemu nyingine ila hapa kwetu bongo sio kabisa, wanaume wengi wanaooa wanawake wanaojiweza wanadharauliwa sana na wanawake,
Kuna jamaa kaoa mtoto wa tajiri mmoja wakati yeye ni choka mbaya, mwanamke anatembea na vijana wadogo hadharani, kwani anajua jamaa hana ubavu wa kumfanya chochote, mara kumfokea jamaa mbele ya kadamnasi ni kawaida yake. Mwanaume kamili hawezi kuwekwa kinyumba na mwanamke.
 
Hua mnajisahau mkipata pesa nyingi mnajidae na nyie ni wanaume ndio maan hamuolewi.
 
Back
Top Bottom