watatkuwa na matatizo ikiwa just for a short time sina tatizo huku mwanaume unajipanga lakini sio ndo yawe maisha ya kila siku alafu huna habari unaona ni kitu cha kawaida unakuwa ni ulimbukeni huoWapo wanaokubali, ila kwa mwanaume aliye kamili hawezi kukubali.
nahicho ndicho nilichokikusudia kama umenifuatilia vizuri post zangu,kuna baadhi ya watu kuzidiwa na mwanamke kila kitu na kuwa comfortable ni kitu cha kawaida na wengine huongeza hata wake wa pili ilhali wanakaa nyumbani kwa mke wake na maisha anaona yako sawa tu,trust me hili swala kuna mtu nimemkuta analo na hana habariKama una maisha yako na una uwezo wa kulipa bills zote bila matatizo, hela za mwanamke hazikuhusu ila kama atataka kutoa mchango wake kwanini uogope?
Au kama wewe una uwezo wa kuwapeleka watoto shule na yeye akasema ataongezea ili waende shule bora zaidi kuna tatizo gani?
Mwanamke hawezi kukudharau kama anaona kuwa una uwezo wa kujikimu. Huwa wanadharau kama yeye analipia startimes, luku, misosi na kila kitu halafu wewe unapozi na remote huku umepiga msuli mkono mmoja unakuna korodani.
Hapo ndiyo dharau inapoanza.
watatkuwa na matatizo ikiwa just for a short time sina tatizo huku mwanaume unajipanga lakini sio ndo yawe maisha ya kila siku alafu huna habari unaona ni kitu cha kawaida unakuwa ni ulimbukeni huo
Hiyo sentensi ya mwisho ndio jibu...
Mwanamke akikusaidia kidogo atakusuta hadi unuke barabarani. ...
hata wanaume wengine wapo hivo pia
Hiyo sentensi ya mwisho ndio jibu...
Mwanamke akikusaidia kidogo atakusuta hadi unuke barabarani. ...
tatizo huwa liko kwenye management, who will be the voice?.. always a man will force to be, but how? the sterling is under the woman side, can you bark to her?. wont you be pushed out?!
huwa wanaogopa kauli kama hiyo hapo kwenye blue na zingine zinazofanana na hizo.
Poverty mentality hizi eti ukiwa na gari unaogopwa...gari si kama viatu tu? Zamani wabongo hata simu tuliona ni asset na ujiko tumezoea sasa..bado magari..
Wanawake wakipata Vijisumni wanajiona ndio kila kitu wakiwa kwenye Jeep kama la kokutana utamtaka? Au kwenye Envoque kama ja jidee si utasugua gaga kumpata?
Mwanamke akishika pesa anakuwa na dharau na anasahau kuwa ni mwanamke hvo wanaume ambao wanatamani kuwa na familia bora hupenda wanawake wanaotambua kuwa baba ni msimamizi mkuu wa familia na ndiye mwamuzi wa mwisho. MWANAMKE anayebisha hili Kwa namna yoyote Ile hafai kuwa mke wa mtu kwkuwa hakubali nafasi yake.. Hiyo ni order toka Kwa MUNGU ukibisha kumbatia ushetani wa mwanamke kuishi ki free "mason"
Japo siyo wote lakini uzoefu unanionesha wengi wapo hivo
She has a point! Bongo mafisi wengi!
Mbona bahati kama hizi huwa hazipiti huku mtaani kwangu.
Yani mwanamke nikuogope kisa unamali huu ni udhaifu wa miaka mia moja...
Wanaume wa hivyo hawastahili sifa ya uanaume..
Mwanaume wa kweli hujiamini kwenye kila jambo.
Mwanaume asiyejua kitu kinacho control akili za mwanamke ndo utakuwa muoga kwenye jambo hilo.
Mwanamke mwenye mali zake ananifaa sana mi mwanaume bahili...
Natamani nipate mwanaume alienizidi kila kitu,kuanzia umri,elimu na pesa....
Otherwise huwa najisikia kuna kitu sio okay..
Hiyo ni kawaida dada hata mimi huwa nawaogopa ingawa kiukweli hata mm bonge la hb,lakini angalizo mwanamke mzuri sana ni ngumu kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli maana huwa tunaamini mnatakwa na wengi,hayo ni mawazo yangu
wengi huogopa kutupiwa virago nje afu mara nyingi madume cc hupenda kumkoromea mwanamke kwa mwenye cash ukjaribu tu unaambiwa njia nyeupeeeeee sepa
I like the power money brings.
Man if you feel inferior because of what I have then too bad, I can't help you.
Confidence in a man is sexy.