Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

hahaha naweza sana kutambua tatizo unaweza kumpata mwanaume wa shoka lakini akigundua umemzidi mafanikio anaanza kuiga tabia za kivulana hajiamini anajishusha then kila utakachokifanya anaona kama umemdharau

Ndo ujue ulipata shoka la plastiki!!!!!!!
 
Lakini hiyo ni fikra potofu tu iliyojengeka miongoni mwa wwngi wala haina mashiko yoyote....mnachokigusia hapo ni tabia ya mtu binafsi...haileti mantiki kutoa mjumuisho wa mambo kwa kutumia sifa na tabia za mtu mmoja...thats unlogical fallacy.......i was the victim too...nilianza mahusiano na mwanamke ambye kimsingi alinizidi kwa kila kitu isipokuwa umri..tuna mapenzi ya dhati na kwasababuhiyo alijitahidi kuhakikisha kwamba ananiweka katika hali nzuri ili hatimaye na mimi niwe pazuri.....amenitoa mbali sana na sasa maisha yanakwenda sawia...mwanamke akipenda huwa na mapenzi ya dhati....ukimvuruga ndipo utakapoona kwamba ana dharau.......tuachane na fikra potofu hazitatujenga bali kuturudisha nyuma...nawakilisha hoja
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

Hujakutana tu na wahuni, utampa hela, utampa mchezo, hutopata ndoa na mhuni atalala mbele! Usiombe...shukuru kwa jinsi ulivyo na mafanikio yako.
 
As a man just strategize on how to LEAD your love and the family.........this is your number one responsibility!!!!!!!!!!!
Just be a practical role model she will follow and admire you!!!!
Mkuu, kuongoza mtu au kitu inabidi kuwe na maelewano otherwise itakua issue ya slave. Mimi sipend money iwe kitu kikubwa kwenye relationship sababu hizo ni material tu, zinaweza kuondoka na kuja anytime. kama ukiiweka mbele basi ikiondoka itaondoka na penzi na ikirudi itarud na penzi. mapenzi ya kweli hayafuati mkumbo wa materials (pesa). Let love lead.........
 
Muhuni halali mbele ila hujenga mazingira ya huyo bi dada kukimbia kambi ili mwisho wa siku ionekane aliyekimbia ni dada mwenyewe tena mazingira jengwa ni lazima yaoneshe either dharau za dada au kujisikia kwake ndio kuliharibu penzi.....jumba bovu pwaaaaa juu yake!!!!!!!
 
Mkuu, kuongoza mtu au kitu inabidi kuwe na maelewano otherwise itakua issue ya slave. Mimi sipend money iwe kitu kikubwa kwenye relationship sababu hizo ni material tu, zinaweza kuondoka na kuja anytime. kama ukiiweka mbele basi ikiondoka itaondoka na penzi na ikirudi itarud na penzi. mapenzi ya kweli hayafuati mkumbo wa materials (pesa). Let love lead.........

Kwani mnapokutana siku ya kwanza mnakuwa na bank statement au hati za nyumba na certificate za makampuni mikononi!!!!!??????
We ishi maisha yako ukijua utakutana na watu wa aina zote siku moja so jiweke kwenye kundi la "watu bora" nikimaanisha anayekubalika kwa rika, daraja na jinsia zote !!!!!!! Hapo ukishajitambua nguvu na mapungufu yako basi yafanyie kazi tu ma hakika hutojuta wewe wala partner wako!!!!!

Maisha ni kujiandaaa sasa kama hujui unataka kuishi vipi ndio mara leo umekumbwa na huyu kesho umakamatwa na shuga mamy mara oooonh mapenzi mie basi .........sijui sitaki mke!!!!!!!

Mkuu kaaa mkao kama unaishi milele na dunia nzima inakutegemea wewe..........hao wanaosemekena wanaogopwa wanataka die-hards na huwezi kuwa hivyo kwa usiku mmoja!!!!!!!

Wadau wameshasema huko juu mwanamke anataka mwanaume wa kutegemeka sio my dady my mamy type!!!!!
 
tunaomba msaada kwa mashost maji yakifika shingoni

Ndio huwa mnasikia mumeo kamega na mashosti zako sababu za kutoa ya ndani unajua unaomba msaada, au unajikosha kumbe una expose potentials za mumeo na wenzio wanazifanyia kazi!!!!!!!

Cc ; wote watoa habari !!!!!
 
so na wew mwanaume why utegeke na kama sio tamaa zako afu wasingizia kisa wana data zako
 
Kwani umeambiwa nategeka hapo !!!!!??????
Yaani mtu kukata kiu ni kutegeka......................utachekwa wewe!!!!!
 
Kwani mnapokutana siku ya kwanza mnakuwa na bank statement au hati za nyumba na certificate za makampuni mikononi!!!!!??????
We ishi maisha yako ukijua utakutana na watu wa aina zote siku moja so jiweke kwenye kundi la "watu bora" nikimaanisha anayekubalika kwa rika, daraja na jinsia zote !!!!!!! Hapo ukishajitambua nguvu na mapungufu yako basi yafanyie kazi tu ma hakika hutojuta wewe wala partner wako!!!!!

Maisha ni kujiandaaa sasa kama hujui unataka kuishi vipi ndio mara leo umekumbwa na huyu kesho umakamatwa na shuga mamy mara oooonh mapenzi mie basi .........sijui sitaki mke!!!!!!!

Mkuu kaaa mkao kama unaishi milele na dunia nzima inakutegemea wewe..........hao wanaosemekena wanaogopwa wanataka die-hards na huwezi kuwa hivyo kwa usiku mmoja!!!!!!!

Wadau wameshasema huko juu mwanamke anataka mwanaume wa kutegemeka sio my dady my mamy type!!!!!
Hawa dada zetu wa miaka hii wanamatatizo sana...hawataki kusikia hauna hela, hawajui kupenda kwa kuanza pamoja, wanataka wapende kimaslahi...Kuna mtu aliwahi kupost topic moja ya nini mwanamke anaangalia mkikutana kwa mara ya kwanza? hahahahah, nlicheka sana nkajihisi kama nakua kwenye interview......
 
Na hii ni post ya mwaka huu, haijalishi mwanamke ana pesa ama lah, elimu kumzidi mumewe ama lah, kama mwanamme anajua how to lead a woman is more than enough.

Na mara nyingi, wanawake wanaojiona wana mafanikio sana, huishia kuteseka sana kimahusiano, ama kwa kupenda ama kutopenda. Hasa pale mwenza anapokuwa na mafanikio hafifu kulinganisha na mwanamke huyo.

Anyway, haya ni maisha, bora kuchagua unayeona anakufaa iwe kifedha, elimu n.k.

As a man just strategize on how to LEAD your love and the family.........this is your number one responsibility!!!!!!!!!!!
Just be a practical role model she will follow and admire you!!!!
 
Hawa dada zetu wa miaka hii wanamatatizo sana...hawataki kusikia hauna hela, hawajui kupenda kwa kuanza pamoja, wanataka wapende kimaslahi...Kuna mtu aliwahi kupost topic moja ya nini mwanamke anaangalia mkikutana kwa mara ya kwanza? hahahahah, nlicheka sana nkajihisi kama nakua kwenye interview......

Kama huna hela na huna unachofanya ili kutafuta hata wazazi wako hawatakufurahia itakuwa mwanamke!!!!?????
Hata wewe mkuu huwezi penda eti kwa kuanza pamoja ............kiwanja tu tunanunua palipopimwa na shamba mpaka tuandikishane halafu unataka mtu akuchukue kama partner na husomeki kwa plan wala implementation......i told you kaa "kundi bora"...................!!!!!!!maslahi kila mtu anayataka maisha haya.....hata wanaolea yatima wanategemea malipo kwa muumba!!!!! Wake up son.....

Naikumbuka hiyo topic watu waliponda weee ila ile ndio fact chungu kumezwa!!!!
 
Ni kweli, let love lead, but school fees won't be paid by love.

Mapenzi yana nafasi kubwa sana ya kuleta furaha, lakini pesa inafacilitate baadhi ya mambo.

Mkuu, kuongoza mtu au kitu inabidi kuwe na maelewano otherwise itakua issue ya slave. Mimi sipend money iwe kitu kikubwa kwenye relationship sababu hizo ni material tu, zinaweza kuondoka na kuja anytime. kama ukiiweka mbele basi ikiondoka itaondoka na penzi na ikirudi itarud na penzi. mapenzi ya kweli hayafuati mkumbo wa materials (pesa). Let love lead.........
 
Na hii ni post ya mwaka huu, haijalishi mwanamke ana pesa ama lah, elimu kumzidi mumewe ama lah, kama mwanamme anajua how to lead a woman is more than enough.

Na mara nyingi, wanawake wanaojiona wana mafanikio sana, huishia kuteseka sana kimahusiano, ama kwa kupenda ama kutopenda. Hasa pale mwenza anapokuwa na mafanikio hafifu kulinganisha na mwanamke huyo.

Anyway, haya ni maisha, bora kuchagua unayeona anakufaa iwe kifedha, elimu n.k.

Thank you my dada!!!!
Hii shida ipo sana kwenye jamii yetu nadhani sasa tuwahimize vijana japo wawe na degree moja kabla ya kuingia haya mahusiano ili japo tusimlaumu kuwa hawezi kuchanganua mambo, i mean no one should suffer from ignorace!!!!!! Just this one aspect!!!!!!!
 
Kumbe tupo wengi.. Inabidi mwanaume akianza kukutongoza unamuuliza kwanza kipato chake na asset zake ili ujue kama yuko juu yako ndio umkubali... Mbona majanga!!!
...nayo italeta fikra kuwa wanipenda kwasababu ya assets zangu.
Kifupi pasiwe na majigambo tu,mbona mapenzi ya kweli yanafunika ubibi mkubwa na ubwana mdogo.
 
Kama huna hela na huna unachofanya ili kutafuta hata wazazi wako hawatakufurahia itakuwa mwanamke!!!!?????
Hata wewe mkuu huwezi penda eti kwa kuanza pamoja ............kiwanja tu tunanunua palipopimwa na shamba mpaka tuandikishane halafu unataka mtu akuchukue kama partner na husomeki kwa plan wala implementation......i told you kaa "kundi bora"...................!!!!!!!maslahi kila mtu anayataka maisha haya.....hata wanaolea yatima wanategemea malipo kwa muumba!!!!! Wake up son.....

Naikumbuka hiyo topic watu waliponda weee ila ile ndio fact chungu kumezwa!!!!
Ok..basi ndio maana mahusiano mengi siku hizi hayadumu. Mimi msichana akiwa anaangalia vitu vyangu huwa sivutiwi nae kwan najua anataka kunifanya project..Kupanda na kushuka kiuchumi ni janga la dunia nzima hata serikali tajiri kama US huwa zinakumbwa na janga hili, sasa kama mimi nikishuka na huyu mdada alikuja sababu ya hivyo vilivyopungua unadhani atabaki na mimi? Bora waangalia my content..nina nini kichwani, je ni mpiganaji au mzembe tu? wakifanya hivi nadhani tutafika pazuri.
 
Back
Top Bottom