OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Saaafi kaka yaani wakiwa na senti wanajiona ma queen sana jamani hela iko bank kama huna mvuto huna tu! !!!!!Inawezekana labda huna viwango vyao. Na si unajua mwanaume ni kama fisi, hakatai nyama. Pesa zako hazimaanishi unakuwa ndoto ya kila mwanaume
Saa nyingine sio mnaogopwa ni kiwa hamtakiwi!!!