John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,227
- 16,335
Hapa secretarybird hajamuita shogaake Chizi Maarifa kumpaka makeup lakn kadamsh hata, atakuwepo leo uwanja wa uhuru
Kajamaa kamejikoboa ngozi , haka katakua kanapumuliwa kisogoniHapa secretarybird hajamuita shogaake Chizi Maarifa kumpaka makeup lakn kadamsh hata, atakuwepo leo uwanja wa uhuru
Sio katakua ni kanapumuliaKajamaa kamejikoboa ngozi , haka katakua kanapumuliwa kisogoni
Hahaha,Weka na kapicha bwana.
Lewo ngoja nikusaidie
Kwa nini wanawake huwa wanajipaka/wanajichapia make-up (vipodozi) ?
View attachment 3688031View attachment 3688032
Mchawi mvua tu
Eeeeh 😅 howWanapaka kitu kinaitwa concealer, hiyo ndio inachonga pua inakaa mkao!
How tena! Zile rangi zinareflect mpaka mtu anakuwa anavyotaka kuwa..Eeeeh 😅 how
Tekinolojiiiii🤣How tena! Zile rangi zinareflect mpaka mtu anakuwa anavyotaka kuwa..
😂😂😂😂😂😂😂Kujipatia mume kwa njia za udanganyifu
Kwa kufanya hivyo wewe unakuwa fursa yenyewe😀Kwa nini wanawake huwa wanajipaka/wanajichapia make-up (vipodozi) ?
View attachment 3688031View attachment 3688032
Yani shemeji tunaye tunatamba naye🥳🥳🥳🥳🥳😍