Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,966
- 3,405
Hongereni.Yani shemeji tunaye tunatamba naye🥳🥳🥳🥳🥳😍
Hongereni.Yani shemeji tunaye tunatamba naye🥳🥳🥳🥳🥳😍
Kwanza make up is a first Cv afu inaleta confidence kwa mwanamke🔥Hongereni.
Wanapenda kuonekana fake.Kwa nini wanawake huwa wanajipaka/wanajichapia make-up (vipodozi) ?
View attachment 3688031View attachment 3688032
Bado hujaona vyote!Makeup ya kuchonga pia🙌
kama hapaki makeup anafanya skin careMbona wanawake wengi tu ni wazuri zaidi bila makeup?
Safi sana.Kwanza make up is a first Cv afu inaleta confidence kwa mwanamke🔥
Appearance matters a lot kwa wanawake
Ila sio wazuri 😹😹tuseme tu ukweli banaWanawake wa vijijini kabisa hata hawajui hizo skin care, wanajipaka babycare au alizeti.
Ngoja waje waeleze kwanini wanafanya hivyo!
Ndio maana nikasema sio wote napenda urembo ila hiyo nimeshindwaWanaopaka ni wengi sana kama 90%, baadhi tu labda ndio hampaki.
Na bado hamuwataki mnataka wa mjini🙌🏾Wanawake wa vijijini kabisa hata hawajui hizo skin care, wanajipaka babycare au alizeti.