Anakuja binti mweupe mtaa mzima anasema kabisa hizi sio kali lete karatasi nikuandikie, zikija uzificha unazitoa kwa siri, 𤣠sasa hapo tunatafuta noti haina jinsi ni kufata tu matakwa ya wateja ila unabaki na maswali mengi.Imagine!š¤£
Ila kweli kuna muda unakutana na aina za wateja mpaka unajiuliza hivi huyu anataka kulipua usoš
We utakuwa ulikuwa unawatafutia zilizodhibitiwa aisee!!
Wana mpango gani na nyuso zaošWanawake wa Mbeya ndio wanajilipua nyuso kweli.
Na zina pesa sio poa! Wateja hawataki rangi zetu hizi, aiseešAnakuja binti mweupe mtaa mzima anasema kabisa hizi sio kali lete karatasi nikuandikie, zikija uzificha unazitoa kwa siri, 𤣠sasa hapo tunatafuta noti haina jinsi ni kufata tu matakwa ya wateja ila unabaki na maswali mengi.
NGoja nisake mtaji huko mwanza soko lipo sana, haya madude wanatumia wote bila kubagua, š mkishaanza kuyatumia. Kuyaacha ni ngumu. SanaNa zina pesa sio poa! Wateja hawataki rangi zetu hizi, aiseeš
Sawa nipo hapa misungwi, sina kazi ukipata mtaji we niajiri tu mimi halafu we baki huko mjini, nikuunguzie kijiji kizima ngozi, nakutumia faida huko ulipošNGoja nisake mtaji huko mwanza soko lipo sana, haya madude wanatumia wote bila kubagua, š mkishaanza kuyatumia. Kuyaacha ni ngumu. Sana
Nachukua mkopo next week mkuu šSawa nipo hapa misungwi, sina kazi ukipata mtaji we niajiri tu mimi halafu we baki huko mjini, nikuunguzie kijiji kizima ngozi, nakutumia faida huko ulipoš
Chukua mkubwa mwanangušNachukua mkopo next week mkuu š
Kwa kijiko š¤£Wale wanaopaka lipstick huwa wanakulaje?