Kwanini makanisani hili hutokea?

Kwanini makanisani hili hutokea?

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,849
Reaction score
11,433
Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka

Wanaume 1 Tu Kati ya 10

Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka Tumuweke kundi la wanawake?
 
Sio mwanaume huyo na sio kila mwenye umbo la kiume ni mwanaume wengine ni wanawake kwenye maumbile ya kiume sura ya Baba
 
As a man of God ninakuja na majibu haya;
1. Mwanamke ndiye amebeba uhai na Uzima wa Dunia.
Shetani amejua hili. Kwahiyo akitaka kuharibu Taifa, au familia humshambulia mwanamke first.
Kumbuka Biblia inasema Adam hakudanganywa bali Eva .
Mwanamke ndiye Uzima wa Dunia.
Ile hedhi ya kila mwezi ni ishara kuwa kuna uhai wa mtu umepotea that's why akipata mimba hedhi haitoki ikiashiria kuna uzima/uhai ndani ya huyo mwanamke.
Sababu zingine ni minor tu ila sababu kuu ndio hiyo
 
Waongo , kila jumapili hapa kona naona wanatolewa hayo mapepo , kiufupi hao wachngaji kama wale waganga wa kizigua maarufu kama rambaramba . Hawa wa kanisani huvaa suti , ila wote ni washirikina .

Maigizo yao yanafanana kabisa.
 
lambaaa lamba oooow ooowsa7 wanalia oooo umenikumbusha wimbo wao
 
Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka

Wanaume 1 Tu Kati ya 10

Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka Tumuweke kundi la wanawake?
wanawake wengi wapo so emotional kiasi kwamba wanamuweka mchungaji kama pedestal wa maisha yao
 
Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka

Wanaume 1 Tu Kati ya 10

Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka Tumuweke kundi la wanawake?
wanaume hua hawafumbi macho kabisa kwenye maombi, tofauti na wanawake ambao huyafumba kwa 100%, na kwahivyo hukosa balance hasa akipigiwa kelele kubwa au kusukumwa kidogo tu kichwani.

it's simple,
hapo ulipo fumba macho yako 100% ukiwa umesimama, kisha mwambie rafiki ulienae hapo, atumie hata vidole tu kufanya kama anakusukuma kwa kukugusa kwenye paji la uso. My friend, utaanguka tu. Kwasababu ukifumba macho unakosa balance na una loose control in almost everything including your sense.

upo uhusiano mkubwa kati ya mwanga na utimamu wako kimwili na kiroho. Na ndio maana hata ukiwa unasinzia, husinzii ukiwa umekodoa macho, lazima utakua umeyafumba 100% na utakua unakosa balance zaidi kadiri unavyoyafumba macho yako na kuwaparamia mabegani majirani zako wa pembeni ulioketi nao benchi moja kwa usingizi mzito ikiwa uko kanisani, kinyume na hapo hua ni mipango na drama tu za kawaida madhabahuni 🐒
 
Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka

Wanaume 1 Tu Kati ya 10

Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka Tumuweke kundi la wanawake?
Mapepo ni rahisi kuwaingia wanawake Kwa sababu wanawake wanaendeshwa na hisia , sile hisia kama , uchungu, manu'nguniko ,masikikitiko, mawazo mabaya & tabia mbaya za mtu & kukosa upendo
& Kurogwa husababisha kuvutia mapepo

ni tofauti na mwanaume ambaye ana tumia mantiki na kureason

Uwa inakuwa vigumu
Ukikuta mwanaume ana mapepo
Akiwa nayo ujue kuwa ni
mara nyingi anakua karogwa au hana upendo au miungu ya kwao nk
 
Sahihi zaidi hadi sasa.
 
Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka

Wanaume 1 Tu Kati ya 10

Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka Tumuweke kundi la wanawake?
Ukijibu hili swali basi utakuwa umepata jibu la swali lako: kwanini katika misiba vilio vya wanawake ndivyo vinavyotawala?
 
Waongo , kila jumapili hapa kona naona wanatolewa hayo mapepo , kiufupi hao wachngaji kama wale waganga wa kizigua maarufu kama rambaramba . Hawa wa kanisani huvaa suti , ila wote ni washirikina .

Maigizo yao yanafanana kabisa.
Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka

Wanaume 1 Tu Kati ya 10

Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka Tumuweke kundi la wanawake?
Ukakasi Sana!. Binafsi huwa ninapokuwa kwenye majukumu ya ukombozi wa watu Katika Kristo Yesu mara nyingi tu nimewahi kukemea mapepo ndani ya watu na kwa kutii Mamlaka ya Kristo Yesu yaliwatoka pasipo kupiga kelele wala kuwaangusha!.
 
Hayo mapepo yaliingia vipi na hao wanaenda kanisani kila siku? Huo ni uchawi ni vile mnavaa suti.
 
Back
Top Bottom