Simba bingwaHapa secretarybird hajamuita shogaake Chizi Maarifa kumpaka makeup lakn kadamsh hata, atakuwepo leo uwanja wa uhuru
Amemuonea sana, nadhani zoezi la contwnt kwa siku hiyo liliishia pale š¤£Kwanini amfanyie hivyoš
Hawajali lakini ndio wanaoongoza kuwaspoil wanaopaka vitu fake sasašš½Nafikiri wanaume wengi wa bongo hawajali makeup, wanajali zaidi makalio na rangi.
Alimbana kwenye ukweli wa mambošAmemuonea sana, nadhani zoezi la contwnt kwa siku hiyo liliishia pale š¤£
Sema mkuu hizi poda poda msiache mazima, ziwe za wastani flaniAlimbana kwenye ukweli wa mamboš
Mimi sipaki na hakuna kitu mtanifanyašSema mkuu hizi poda poda msiache mazima, ziwe za wastani flani
Pokea maua mkuu,, ni lazima uwe vyemaMimi sipaki na hakuna kitu mtanifanyaš
Unachekesha chakula kinakaa juu ya lips? Njoo nikuoneshe kwanzaā¦Wale wanaopaka lipstick huwa wanakulaje?
Sina uvyema wowote na nina amani tuš¤£Pokea maua mkuu,, ni lazima uwe vyema
Wanahofia kuwa bila make up hawatoboi..
Na kwa sasa kuna make-up ya NYASH!
Unamkuta ana mzigo wa kwenda, ukimvua unagundua ni feki
Si kweli, au mwanza bidhaa hizi hazifiki? š¤£Sina uvyema wowote na nina amani tuš¤£
ZinafikaašSi kweli, au mwanza bidhaa hizi hazifiki? š¤£
Ngoja nitafute mtaji niwahi huko mwanza, hata huku mwanzoni walikua wabishii wabishi, lakini sasahivi imeshakua Balaa šZinafikaaš
Sema kwenye sherehe ndio tunaforce na sisi sura za baba, ila tofauti na hapo tnakomaa tu hakuna jinsiš
Unataka kuja kutuuzia bidhaa fake na wewe?Ngoja nitafute mtaji niwahi huko mwanza, hata huku mwanzoni walikua wabishii wabishi, lakini sasahivi imeshakua Balaa š
Shida sio muuzaji š, mnunuzi ndo anampa muuzaji kazi ya kutafuta zilizopigwa ban, kuna nyakati nilikua shop nasogeza siku.Unataka kuja kutuuzia bidhaa fake na wewe?
Imagine!š¤£Shida sio muuzaji š, mnunuzi ndo anampa muuzaji kazi ya kutafuta zilizopigwa ban, kuna nyakati nilikua shop nasogeza siku.