Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!
Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
Duniani, kwenye kila mauaji 10 basi 9 yamefanywa na wanaume.Ukiongelea hoja ya sijui kuua hayo ni mengine kwasababu kwenye hilo hamna jinsia, wote wanaua
Kwa muktadha wa kipindi hicho, naamini vipaumbele vilikuwa kujilinda na kuzaliana tu, hiari za watu hazikuwa muhimu. Hivyo hatuwezi kuwalaumu mababu zetu, hayo maamuzi yametufikisha hapa.Hayupo au mnaogopa kuusema ukweli kama ulivyo
Is it still necessary today?
💯 💯 💯
Amini kwamba sio udhaifu, kukiwa kuna shida kwenye mtaa halafu hakuna hatua zinachukuliwa hapo watasemwa wanaume wa mtaa huo kuwa ni legelege rifaa isshu ya panya road na wanaume wa dar walisema kwa udhaifu wa kutochukua hatua, kwa mwanaume udhaifu ni kutochukua hatua sio ku overreact, mwanaume ameumbwa ni mtu wa kuchukua hatua katika jambo fulani na anapochukua hatua hapo huwa haijalishi anatumia njia gani, hata wanawake hilo mnajua kwamba huyu mwanaume nikifanya hivi mambo hayatakuwa sawa,Duniani, kwenye kila mauaji 10 basi 9 yamefanywa na wanaume.
Unawezaje kulinganisha hapo?
Na watuite feminist who cares mama 😅 hawa watu wanatakiwa kujua kua ujinga ulikua enzi hizo analogy enz za kufua mawe mama zetu walikosa wa kuwaunga mkono wakaishia kuvumilia manyanyaso wengine walipata ulemavu wa kudumu na kupoteza maishaKabisa kabisa.
Mwanamme akiondoka nyumbani akatelekeza familia anaambiwa ni sahihi maana wanawake wana maudhi. Mwanamke akiondoka nyumbani anaambiwa muhuni, kaondoka nyumbani kwenda kudanga, hana huruma na wtt, malaya. N.k
Yaani sisi ndio tumeumbiwa kupokea uonevu tu.....
Aisee me na niitwe feminist potelea bondeni. Hadi mabinti zangu nitahakikisha nawasomesha vizuri na kuwafundisha wajitafutie chao na kamwe wasije wakavumulia uonevu. Hakuna alie m-bora juu ya mwenziwe, however
Masculinity, nature na kuwa na nguvu, nature ya kutotaka kushindwa, kutotaka kuwa dragged down to earth. Hizi zinaweza kuwa sababu za mwanaume kukimbilia violence akipatwa na shida.Asante kwa maelezo mkuu 💯 ila hujajibu swali langu.
Ila sababu umeogelea hasira, nakubali mnazo kwa wingi, ila kwanini huwa mnashindwa kuzidhibiti na mnakimbilia kwenye violence badala ya solutions nyingine?
Sasa mimi na Binti wa zamani na wengine tunamtafuta aliyepindua meza akaaminisha dunia women are emotional wakati statistically inagoma tukitumia “madhara” kama criteria ya upimaji.Hisia ni moja ya vijenzi muhimu kabisa vya ubinadamu. Kila mtu anazo.
Nakubali, we only ask mdhibiti hasira ili mpunguze violent duniani, we don’t ask for much, Are we?Changamoto inakuja kwenye tamaduni. Wanaume tunalelewa kiushindani, hivyo tupo kwenye hatari ya kuendeshwa na hofu, hasira, chuki na kiburi. Wanawake mnalelewa kiuvumilivu, hivyo mpo kwenye hatari ya kuendeshwa na wivu, na hila.
Pia tamaduni hizo hizo zinaendeleza upotoshi, mfano kupitia hizi dini zetu wapo wengi wanaoamini kuwa wanaume hawana hisia.
Ila wakulaumiwa hayupo, wakati wanadamu tunaanza kuishi kimakundi ilikuwa sahihi zaidi watu wenye nguvu za kimwili(wanaume) kuwekwa juu ili wasimamie vitu kama ulinzi na kilimo, na ndipo mfumo dume ukazaliwa na kuleta haya yote. It was out of necessity.
Anything that has been constructed can be deconstructed, tukianza kuwaelekeza (deconstruct) acheni ile punch line yenu maarufu ya “nature” msiwe mna naturalize kila kitu kwa faida yenu.Ni wachache wanaweza kwenda nje kidogo ya ufahamu wa hizi tamaduni zetu na kuelewa haya.
😅😅Waheshimiwe sana 🙌 kazi yao ni pevu.
Wewe ni mfano wa wanaume dhaifu..Ningekua karibu yako huenda hata tungekua tunaongea mengine, kama hatuja badilishana majengo ya serikali sijui tu balaa lake..
Legend, mnataka tuanze kutafuta kamusi kujua maana ya udhaifu?BK, it's not that men are weaker. It's that a lot of men have been taught to carry weight without being taught how to put it down. Tafiti zinaonyesha kwamba wanaume ndio wapo kwa kiasi kikubwa na mental disorders, ndio maana ni kweli visa vingi alivyotoa mtoa mada vinatoka jinsia ya kiume, lakini hilo haliwezi chukuliwa moja kwa moja kama udhaifu wa jinsia yote kwa uzito wake.
Hatujaumbwaa kuvumiliaa.mkuuKwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684908
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
😅 Anataka kuchezea matope halafu anaogopa kuchafuka😀😂😂😂😂 Kilichompeleka kwenye 3some nini kiherehere tu! 🤣
Ladies start chaos at first place viva franklin saintNina watoto wa kiume pekee na hili ni swali ambalo nimekua nalo kwa muda mrefu na naamini majibu yake yatanisaidia kuelewa kizazi changu pia.
View attachment 3684914
Hahahaaaaa mimi ni little boy... inategemeana nimekukutaje, naweza kufanya na mengineyo pia sio hayo tu mkuuWewe ni mfano wa wanaume dhaifu..
Una uhakika tukikutana unaweza kufanya hayo unayosema?
Kama kuna kitu sikionei aibu ni kuitwa feminist, wanaosemaga hivyo kwa kunishame huwa wananifanya nicheke kwa nguvu, Yaani mimi nina advocate mambo ambayo yanaleta usawa na usalama kwa mwanamke +na mtoto wa kike unataka nione aibu? 😅😅Kabisa kabisa.
Mwanamme akiondoka nyumbani akatelekeza familia anaambiwa ni sahihi maana wanawake wana maudhi. Mwanamke akiondoka nyumbani anaambiwa muhuni, kaondoka nyumbani kwenda kudanga, hana huruma na wtt, malaya. N.k
Yaani sisi ndio tumeumbiwa kupokea uonevu tu.....
Aisee me na niitwe feminist potelea bondeni.
Hadi mabinti zangu nitahakikisha nawasomesha vizuri na kuwafundisha wajitafutie chao na kamwe wasije wakavumulia uonevu. Hakuna alie m-bora juu ya mwenziwe, however
Na pia tunauana wenyewe kwa wenyewe 8/10 killed people ni wanaume.Duniani, kwenye kila mauaji 10 basi 9 yamefanywa na wanaume.
Unawezaje kulinganisha hapo?