Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Naungana na wewe hapo kwenye kuogopa wanaume πŸ˜‚.
Literally, they terrify me.
Haya, embu toeni mapendekezo yenu sasa, mnahisi ni hatua gani zikichukuliwa na wanawake na wanaume kwa pamoja hali hii itatoweka kabisa?

Tunaanzaje kuitibu akili ya mwanaume?
 
Haya, embu toeni mapendekezo yenu sasa, mnahisi ni hatua gani zikichukuliwa na wanawake na wanaume kwa pamoja hali hii itatoweka kabisa?
Angel Nylon na ShesRise_1 karibuni pia mjibu hili swali.
Tunaanzaje kuitibu akili ya mwanaume?
  1. Kwanza ni kutambua na kukubali kwamba hiyo changamoto au udhaifu upo. Wengi kwenye huu uzi wameelezea hormones kama kisababishi. Mwanaume kuwa na utambuzi kwamba unaweza kuwa aggressive kiasili ni hatua ya kwanza.

  2. Ku-strengthen EQ skills zenu na kujifunza kuregulate emotions - ukipata hasira kali, ukikwaza, ukiudhiwa inabidi ufanye nini. Mjifunze healthy coping mechanishms pia (Mfano: Jiondoe kwenye situation, nenda for a walk, a drive, meditate, fanya mazoezi, go out, calm down kabla hujaendelea na mazungumzo makali au ugomvi).

  3. Ku-unlearn toxic masculinity, mambo ya "inabidi nitumie mabavu kuonyesha uanaume wangu" hayafai. Changamoto hasa za kimahusiano na kifamilia haziwezi kusuluhishwa na violence hata siku moja, ukifanya hivyo unaliongeza tatizo au unali-postpone kwa kuenforce hofu ya muda mfupi.

  4. Kutafuta msaada wa afya ya akili hasa pale mnapokutana na changamoto, na pia kuongelea matatizo yenu na wale wanaowazunguka (acheni kubebelea vitu mioyoni na vichwani).

    Mengine binti kiziwi ataongezea!
 
Duh... Ni kweli but mimi nadhani ni nature hatuna huruma...

Hapana mwanaume hukipuka kutokana na malimbikizo ya hisia kwa muda mrefu. Jinsia ya kike huwa haipend kusikia wana assume wanaume hawana mioyo, so wanarudia again and again until mtoto wa kiume ana suffer nuclear meltdown, ndio hapo unasikia mtu kachinywa, kafanyiwa unyama fulani

Funny fact hivi vyote vinaweza dhibitiwa kwa mmoja wapo kushuka na kukuri kuwa amekosea. Ila ego ego ego
 
Tatizo mpaka wanawake wanauliwa ni kwamba Demu kachepuka amestukiwa ,mwanamme anaamua kumuacha ,yeye anakaza FUVu anataka wagawane mali ,mwanamme anapata machungu mara mbili la kwanza KUTAFUNIWA MKE na PILI kufilisiwa MALI hapo lazima AKUMWAGE UBONGO kwa Pyupyu au AKUFUMUE UTUMBO kwa KAMEME.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kilichompeleka kwenye 3some nini kiherehere tu! 🀣
Sema dah, nina imagine aise. uvulanani tumepiga hii michezo, lakini sio group hivi, kila mmoja alikuwa kwa time yake. πŸ˜€ Tulikuwa tunaita mtungo.
 
Sijui kama hizo 90% ni za kitafiti, lakini wanaume walijaaliwa vitendo na si lopolopo nyingi za majibizano. Wewe na kamdomo kanakusaidia kuchelewesha maamzi.
 
Sema dah, nina imagine aise. uvulanani tumepiga hii michezo, lakini sio group hivi, kila mmoja alikuwa kwa time yake. πŸ˜€ Tulikuwa tunaita mtungo.
Hivi kweli nyie viumbe hamna kinyaa πŸ˜¬πŸ˜΅β€πŸ’«?
 
Kote kote kuna udhaifu
Hakuna cha wanawake wala wanaume,ni jambo la kuwaiana tu kuumizana na kuwana
Rejea, kile kisa cha yule mwanamke huko mbezi makabe aliyemfungia jamaa ndani na kupiga moto kibanda

Ova
 
Nothing to fake, mwanaume yupo "genuine" zaidi kwa asili. Suala la kuigiza katika mazingira halisi halipo kwa jinsia ya "Me", unabisha kafanye utafiti. Mwanaume hayupo kuioneshea asili uzuri wake ila yupo kuuona uzuri wa ajili.

Uumbaji wenyewe kifizikali " masculine" siyo jambo la kitoto, ni shughuli mtu kazi. Achana na nyimbo siju "wanaume tumeumbwa matesooo...." Ukitulia tu utaona.

Jamii haijamtwika mwanaume majukumu ya kutia huruma fuatilia "social constructed roles" za Jamii nyingi pitia kwa muda wako, suala la hisia na hurumahuruma kwa mwanaume futa na kama hutaki komaa nalo.

Mwanaume Jamii inamuweka kwenye kundi la shujaa na siyo muhanga, ukitaka kukubali fuatilia mwanaume hata kama akiwa anapigwa na mkewe Jamii haichukulii jambo hilo kwa uzito na siyo ajabu ikawaka inamshangaa. Hakuumbwa kuonewa huruma na ndiyo furaha ya furaha ya mwanaume.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…