Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Morning babes 🫢

Mimi namtafuta huyo na yule aliyesema "wanawake tuishi nao kwa akili"

Ni kitu nakitafakari kwa muda mrefu, na kwanini huu udhaifu often unakua glorified?
Tena don’t start kwenye hili 🀣 Maana sio wanaume tu wana glorify tabia mbaya za kiume bali hata sisi β€œbirds” be it a mother, mke, girlfriend, mchepuko, dada etc

Sick! Wanaume wangebadilika (au kungekuwa na unafuu) kama wangekuwa wanakemewa! Mtu mamaake kamwambia ulivyofanya ni vizuri, wewe utamwambia nini!!!

I agree, wengi wao wanakwepa working on themselvesd kwa sababu hawataki hata kukubali kwamba kushindwa kuregulate emotions hasa zile ambazo ni negative ni udhaifu.
Halafu kuna kitu kinahuzunisha zaidi, We all know kuwa anger ni second emotion, ukimuona mtu ana hasira kwenye point A, kuna underlying emotions yuko nazo before anger ilipuke, May be disapointments, shame, sadness, fear, neglect, pain etc Sasa kama anger ni second emotion chances are mtu anaweza kuja kukulipukia wewe kwa kitu ambacho haujafanya, kimefanya na mtu B, walipokuwa point A.

Kwahiyo tukisema anger ni mbaya na wajitahidi kuidhibiti, tunamaanisha madhara ya hasira yanaweza kumpata hata mtu innocent ambaye hajakosea.
 
binti, mbona umekazania sana wanaume tukiri wazi wazi kuwa sisi ni dhaifu zaidi? Nia yako haswa ni nini? Unataka kutudhalilisha mazima sio?
Kwanini unachukulia kukiri udhaifu kama kudhalilika?
Je wewe unaamini kama mwanaume hauna udhaifu na ni mkamilifu kwenye kila upande?
Anyways, what if wanaume imetutengeneza kuwa hivyo hivyo ili kuleta balance kwenye meaning hapa ulimwenguni?
Nnai au nini kimewatengeneza muwe hivyo? kwa sabbabu au malengo gani?
Bila hizo tabia unazoziita hasira na visasi kuna namna maisha yangekuwa mabaya zaidi ya haya yaliyopo.
Thibitisha yangekuwaje mabaya?
 
Hapo ni mpambano wa dharula.
 
Binafsi sina shida, nimekubali kitambo sana.

Haiwezekani kulifanyia kazi, mwanaume yeyote anayeonesha udhaifu kihisia hupuuzwa. Sikutunga mimi hiyo sheria, nimeikuta.
 
Hormones
 
Nyie viumbe mpo weak physically ndio maana hamna madhara na hizo weakness za kihisia, men are like lions, hatutaki kushindwa, tuna physcal streng inayotupa nguvu ya ziada kukiwa na jambo haliendi sawa. Ndio maana hata mtaani utakuta tunapigana, vitani tupo front, jela tumejaa, its because we are physically strong, ukiachana na hisia.

So, kwa maoni yangu we all have weak emotions lakini women are weaker in a sense kwamba hawawezi kujizuia na kitu, wanaume wanaweza ila in a long run vifua vinajaa, hasira zikija inakuwa too late.
 
Nasoma tu mpambano na mtifuano huu kwa umakini na utuo zaidi.
Niko na 🍿 zangu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…