Kwanini wanaume Wapole na wastaarabu huwapenda wanawake ambao hawajatulia?

Ukiwa mpole, mstaarabu...pia unaweza kuwa na aibu....Ambapo inapelekea kuwa vigumu sana "kumtokea" mdada mstaarabu au mkimya.

Sasa akitokea mdada machachari, anayejiachia...Wanaume wapole tunaweza pata "Mserereko"

Toto la kike tundu, halina aibu...linakuija,saa zingine linajirahisisha na kukutega...achilia mbali to the extent linakupiga voko kabisa Mtelezo si ndo huo sasa.

So, mambo yanakuwa hivyo.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Lazima apate wa kumchangamsha akili wakiwa woote wapole nyumba itakuwa ya malaika hiyo haijitikisi.
 
Ukiwa mpole, mstaarabu...pia unaweza kuwa na aibu....Ambapo inapelekea kuwa vigumu sana "kumtokea" mdada mstaarabu au mkimya.

Sasa akitokea mdada machachari, anayejiachia...Wanaume wapole tunaweza pata "Mserereko"

Toto la kike tundu, halina aibu...linakuija,saa zingine linajirahisisha na kukutega...achilia mbali to the extent linakupiga voko kabisa Mtelezo si ndo huo sasa.

So, mambo yanakuwa hivyo.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Hata mimi niliwaza sababu ni udomo zege wa Hao wakuitwa wapole.

Kumbe ni kweli ume prove hapa.
 
Back
Top Bottom