Mbinu tatu wanazotumia wanawake kulaghai na kuwadanganya wanaume waingie kwenye mitego yao.

Abby Uladu

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
2,031
4,236
MBINU TATU WANAZOTUMIA WANAWAKE KULAGHAI NA KUWADANGANYA WANAUME WAINGIE KWENYE MITEGO YAO.

Wanawake Kila kukicha wanagundua mbinu mbalimbali za kuwachota wanaume wajae kwenye akili na mifumo yao ili kuwaendesha na kuwafanya wawe chini yao muda wote.

Wanawake hutumia kilio na machozi kudanganya wanaume.Enyi wanaume usije ukadhani mwanamke anapolia na kutoa machozi yupo serious na anajutia kwa alichokifanya utapigwa na kitu kizito kichwani.

Mwanamke anapotoa machozi huwa anajua fika utamuonea huruma.Kaa ukijua mwanamke halii kwasababu anajutia alichokofanya ispokuwa analia kwakuwa mipango yake ushaijua au umemkamata akiwa ana cheat.Thathmini inaonyesha wanaume wenye huruma ndio wanaongoza kuchitiwa na wapenzi wao.

Wanawake hutumia mionekano ya miili yao(physical appearance) kulaghai wanaume.wanawake hutumia nywele wanazosuka(hasa hawa wanazosuka rasta) ,miondoko wanayao tembea,nguo wanazovaa na hata mikao wanayokaa.

Wapo wanawake wanaovaa nguo fupi ilimradi tu wanaume waone shape pamoja na mapaja yao kusudi tu watamaniwe na kutongozwa na wanaume.Pia wapo wanaovaa nguo ndefu makanisani,maofisini na misikitini ilimradi waonekane wastaarabu wapate kutongozwa na wanaume ila kiuhalisia ni wachafu wa nafsi na wanaume kwao kubadilisha ni kama nguo

Wapo wachora tattoo,wanaosuka mara leo kasuka box braids kesho halo braids kesho kutwa crochet braids makusudi yao wanataka kuwachanganya wanaume ili wawatongoze.Enyi wanaume stukeni msije sema sijawaambia.

La mwisho kabisa wanawake hutumia sauti kulaghai wanaume.hapa wanawake huwa wanapenda kulegeza sauti zao ili kukuingiza mkenge atimize shida zake akukimbie.Wanawake wengi wakitaka kuomba Pesa hujifanya wanalegeza sauti ili uwape Pesa akuchune vyakutosha akukikimbie.

Enyi wanaume hata mnapowakopesha Pesa zenu wanawake sauti zao za mlegezo zisiwafanye mshindwe kudai madeni yenu hakuna watu wanajua kuigiza uongo kama wanawake.Kazeni mpaka mlipwe madeni yenu.

Nyongeza.

Mwanaume epuka kuwa na mahusiano na mwanamke anaye jipost kwenye mitandao ya kijamii Kila siku ya Mungu yeye lazima aposti(wengi wao hawajatulia).

Mwanaume epuka mwanamke mwenye misimamo mikali kuhusu wanaume(feminist).Hawa siku zote wanataka haki Sawa kutwa wapo against na wanaume.

Mwanaume epuka mwanamke mwenye marafiki wengi wanaume.Hawa huwa hawajawai kutulia na wanaliwa mno.

Heri ya Christmas na mwaka mpya.

Abby Uladu
Psychologist and journalist
mbezi beach finest
 
bora ningejua kitamboo mazee dahhh....nangatwa penziniii mwenzenuu
FB_IMG_1703541604757.jpg
 
Hao ni attention seekers, attention anayopewa na jamaa yake haimtoshi bado anataka kutoka kwa wanaume wengine. Hatari sana hii type ya wanawake. Wanaliwa sana
Hakika mkuu, hawa ni kuwaepuka. Wapo mwaka unaisha wasap haina status hata moja, au anaweka matukio muhimu. Ila wapo kila siku kujibinua, hao mmmh japo kila mtu na uchaguzi wake namna ya kuishi.
 
Back
Top Bottom