Kwanini haki za Wanaume na Wanawake hazipo sawa

gaintoo broisser

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
307
378
Kama Kichwa cha Habari Hapo Juu.

Kwanini haki za Wanaume na Wanawake hazipo sawa na kama zimeegemea kimwegemea Sana Mwanamke haijalishi mtoto au Mkubwa.

Dunia mzima inapinga Ukatili wa Juu ya Wanawake wanaofanyiwa na Wanaume na linatilia mkazo Sana katika Haki hiyo. Tofauti na Wanaume Wanaofanyiwa Ukatili na Kutofatiliwa sana au Kutoaminiwa Sana kama wamefanyiwa Hivyo na Wanawake.

Mtoto Mdogo wa kike akifanyiwa Ukatili wa Jinsia Nivirahisi Sana kusaidiwa tofauti na Wa kiume, Unakuta Mwanamke Anamika 18 amemfanyia Ukatili Mtoto wa Kiume mwenye Miaka 15 ,Lakini wakienda kwa Koti au MAHAKAMANI Mwanamke anashinda kesi.

Kwanini maranyingi mwanamke ni selfish Kwa Dunia nzima wakati mwingi anajijali yeye sana na siyo na Mwanaume.

Unakuta ata kwenye siasa Utawakuta wanapigiana Kampeni ya Kura, Wanawake tunaweza Tumpigie Kura Mwanamke mwenzetu.

NDOA
NDOA nyingi zinavunjika Kwa sababu ya Utandawazi wa Sasa wa Haki sawa yaani 50 kwa 50 ,Mwanamke analazimisha Naye afanye kazi Kama Mwanaume uku Kwa Biblia imeandikwa Mwanamke ni Msaidizi wa Mwanaume nyumbani, Nyumbani Mshahara unaotumika kwa matumizi ni Wa Mwanaume , Kumununulia Mwanamke nguo House Lents zote Mwanaume alafu et Haki Sawa.

Mwanamke akimlazimisha Mwanaume Kufanya Mapenzi ataonekana Kalala Kwa Wanawake Wengine au Hamlizishi Mwanamke Hampi HAKI za NDOA, ILA Mwanaume akimlazimisha Mke wake Kufanya Mapenzi hiyo inasemeka Amebaka Mke wake au amemwingilia Bila lizaa yake, Mwanaume Kufungwa ni Chapu Tu.

This world is Unfair.
HAPPY WOMEN'S DAY
NAWATAKIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.
 
Tumening’inizwa ndugu sisi tunachongoja ni kudra tu.

Lakini pia nimeona sehemu umeandika kitu kama “Mwanamke akimlazimisha Mwanaume Kufanya Mapenzi” usually mwanaume huwa halazimishwi ukiona anaelazimishwa jua ana tatizo.
 
Isikupe hofu, ni maandalizi ya kwenda kwenye mfumo mpya wa utawala dunian.
Ni biashara inayolipa.

1. Wanaofadhili semina na halakati za mwanamke, ndio hao hao wafadhili wa vita za wenyewe kwa wenyewe, wanawake na watoto ndio waathirika wakubwa.

2. Wamiliki wa websites za kuchapisha picha na video za uchi za wanawake ni hao hao, waasisi wa harakati za kuetetea mwanamke!

3. Mtu mweusi, bado anabaguliwa ktk nchi zote bara ulaya na america mpaka leo.lakin hao hao ndio watetezi wa haki za mwanamke!!

Wale wale walio leta injili ya kristo, ndio hao hao waliwateka, kutesa na kuuza watu utumwani. Harakati hizi zina athari kubwa kwa mwanamke mwenyewe kuliko mwanaume.
 
Kama Kichwa Cha Habari Hapo Juu.

Kwanini haki za Wanaume na Wanawake hazipo sawa na kama zimeegemea kimwegemea Sana Mwanamke haijalishi mtoto au Mkubwa.

Dunia mzima inapinga Ukatili wa Juu ya Wanawake wanaofanyiwa na Wanaume na linatilia mkazo Sana katika Haki hiyo. Tofauti na Wanaume Wanaofanyiwa Ukatili na Kutofatiliwa sana au Kutoaminiwa Sana kama wamefanyiwa Hivyo na Wanawake.

Mtoto Mdogo wa kike akifanyiwa Ukatili wa Jinsia Nivirahisi Sana kusaidiwa tofauti na Wa kiume, Unakuta Mwanamke Anamika 18 amemfanyia Ukatili Mtoto wa Kiume mwenye Miaka 15 ,Lakini wakienda kwa Koti au MAHAKAMANI Mwanamke anashinda kesi.
Kwanini maranyingi mwanamke ni selfish Kwa Dunia nzima wakati mwingi anajijali yeye sana na siyo na Mwanaume.

Unakuta ata kwenye siasa Utawakuta wanapigiana Kampeni ya Kura, Wanawake tunaweza Tumpigie Kura Mwanamke mwenzetu.

NDOA
NDOA nyingi zinavunjika Kwa sababu ya Utandawazi wa Sasa wa Haki sawa yaani 50 kwa 50 ,Mwanamke analazimisha Naye afanye kazi Kama Mwanaume uku Kwa Biblia imeandikwa Mwanamke ni Msaidizi wa Mwanaume nyumbani, Nyumbani Mshahara unaotumika kwa matumizi ni Wa Mwanaume , Kumununulia Mwanamke nguo House Lents zote Mwanaume alafu et Haki Sawa.

Mwanamke akimlazimisha Mwanaume Kufanya Mapenzi ataonekana Kalala Kwa Wanawake Wengine au Hamlizishi Mwanamke Hampi HAKI za NDOA , ILA Mwanaume akimlazimisha Mke wake Kufanya Mapenzi hiyo inasemeka Amebaka Mke wake au amemwingilia Bila lizaa yake, Mwanaume Kufungwa ni Chapu Tu.

This world is Unfair.
HAPPY WOMEN'S DAY
NAWATAKIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

'This world is an fair", kiingereza chako kigumu mimi nimetoka kapa.​

Hii tabia ya kutetea haki za mwanamke ndiyo inayosababisha janga la wanawake kutoolewa

Mfano Binti aliyepata haki ya elimu akasoma hadi akawa na Masters anajiweka kwenye ugumu wa kuja kuolewa labda abahatike kumpata mume mwenye elimu kama yake.

Wanaume wengi tupo kwenye mfumo Dume hata vitabu vya dini zetu vinatambua kuwa mwanaume ndiye kichwa cha familia. Hivyo Binti kuwa na elimu kubwa, Kumiliki Nyumba na Gari kunapelekea akose soko la kuja kuolewa, labda ataishia kuwa singo mother. Wazazi tushtuke ili tuwaandae watoto wa kike waweze kuwa wake bora ndani ya ndoa kwa siku zijazo
 
Mhadhiri mmoja toka chuo Cha SAUT-Malimbe,kasha wahi sema kadri mwanamke anavyozidi kusoma ndivyo anazidi kuwa mjinga.
 
Wewe upo na mfumo dume na uoga wa wanawake kutakeover.

Wanawake bado wako chini kwa mambo mengi mno, ila huu uoga uliopitilizq wa wanaume wengi ukiwemo wewe mleta uzi unazidi kuwapandisha chati.
 
Sababu kubwa ni mwanaume kushindwa kufanya majukumu yake ya msingi kwa familia. Endapo wanaume wote tungetumiza wajibu wetu kwa familia, hakika wanawake wasingelilia haki sawa
 
Kama Kichwa cha Habari Hapo Juu.

Kwanini haki za Wanaume na Wanawake hazipo sawa na kama zimeegemea kimwegemea Sana Mwanamke haijalishi mtoto au Mkubwa.

Dunia mzima inapinga Ukatili wa Juu ya Wanawake wanaofanyiwa na Wanaume na linatilia mkazo Sana katika Haki hiyo. Tofauti na Wanaume Wanaofanyiwa Ukatili na Kutofatiliwa sana au Kutoaminiwa Sana kama wamefanyiwa Hivyo na Wanawake.

Mtoto Mdogo wa kike akifanyiwa Ukatili wa Jinsia Nivirahisi Sana kusaidiwa tofauti na Wa kiume, Unakuta Mwanamke Anamika 18 amemfanyia Ukatili Mtoto wa Kiume mwenye Miaka 15 ,Lakini wakienda kwa Koti au MAHAKAMANI Mwanamke anashinda kesi.

Kwanini maranyingi mwanamke ni selfish Kwa Dunia nzima wakati mwingi anajijali yeye sana na siyo na Mwanaume.

Unakuta ata kwenye siasa Utawakuta wanapigiana Kampeni ya Kura, Wanawake tunaweza Tumpigie Kura Mwanamke mwenzetu.

NDOA
NDOA nyingi zinavunjika Kwa sababu ya Utandawazi wa Sasa wa Haki sawa yaani 50 kwa 50 ,Mwanamke analazimisha Naye afanye kazi Kama Mwanaume uku Kwa Biblia imeandikwa Mwanamke ni Msaidizi wa Mwanaume nyumbani, Nyumbani Mshahara unaotumika kwa matumizi ni Wa Mwanaume , Kumununulia Mwanamke nguo House Lents zote Mwanaume alafu et Haki Sawa.

Mwanamke akimlazimisha Mwanaume Kufanya Mapenzi ataonekana Kalala Kwa Wanawake Wengine au Hamlizishi Mwanamke Hampi HAKI za NDOA, ILA Mwanaume akimlazimisha Mke wake Kufanya Mapenzi hiyo inasemeka Amebaka Mke wake au amemwingilia Bila lizaa yake, Mwanaume Kufungwa ni Chapu Tu.

This world is Unfair.
HAPPY WOMEN'S DAY
NAWATAKIA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.
BRO!!!,,,sikiliza mzee!!,,,,,wewe fanya ivi,kama umeshapata watoto wako,wewe msikilizie mwanamke,akianza kukunyanyasa mwachie nyuma kaanze maisha mapya,wanawake wameshabadilika sana mzee,hawatawaliki tena man!!!
 
Back
Top Bottom