Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

Kabla ya kumkopesha mwanajeshi;Unatakiwa ufahamu namba yake ya utambulisho jeshini na Jina lake kamili(Kitambulisho cha taifa/mpiga kura kinahusika,manake mtaani hamkosi kuitana baba fulani bila kujua Jina halisi),kikosi/kambi aliyopo,halafu unamsainisha kwenye deni lake.

Siku ikitokea anazungusha kulipa usimpeleke polisi bali nenda kwenye kikosi chake,ukutane na wakubwa wake,kule watamuadabisha na utapata haki yako.Jeshi la Wananchi ni moja ya taasisi zenye nidhamu sana kwa ujumla wake 🤔
Unavo elezea sasa kama ni simpo procidure kwenda huko kambini 😂😂😂😂
 
Kama wengine wamekulipa na mmoja ndiye anakusumbua kwanini useme ni tabia yao wakati aliyekufanyia ni mmoja una shida wewe Kama sio wivu na roho mbaya basi ushawahi kufanyiwa kitendo kibaya umeamua kuwachafua
Hauna akili wew
 
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni
Wewe inakuuma nini!

MAGUFULI4LIFE.
 
Unavo elezea sasa kama ni simpo procidure kwenda huko kambini 😂😂😂😂
Kuna ugumu Gani?Jeshi la sasa hivi ni la wasomi,achana na jeshi la kizamani ,Lile lililopigana na Nduli.Mimi Lugalo baracks, Ngome (Upanga),Kule kibaha Kwa Mathias (Msigani).Mara kadhaa nimeingia huko 🤔
 
Nina marafiki polisi,uhamiaji. A zimamoto na wanajeshi wanalipwa allowance nyingi katikati za kisheria tena kama una familia ndo unapewa hela nzuri maana asiye na familia anapewa 300000 hapo baada ya week unapokea mshahara ila card zao zimeshikiliwa micro credit
Mdomo ukusaidie kula hayo mengine utaharibu weye
 
Kabla ya kumkopesha mwanajeshi;Unatakiwa ufahamu namba yake ya utambulisho jeshini na Jina lake kamili(Kitambulisho cha taifa/mpiga kura kinahusika,manake mtaani hamkosi kuitana baba fulani bila kujua Jina halisi),kikosi/kambi aliyopo,halafu unamsainisha kwenye deni lake.

Siku ikitokea anazungusha kulipa usimpeleke polisi bali nenda kwenye kikosi chake,ukutane na wakubwa wake,kule watamuadabisha na utapata haki yako.Jeshi la Wananchi ni moja ya taasisi zenye nidhamu sana kwa ujumla wake 🤔
Sipati picha hicho kisasi chake..
 
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni

Mimi nilienda paka jeshini kwao lakini wapi wananizungusha tu ooh mvumilie mfanye kama ndugu yako
Ulienda ukiwa na vielelezo vyote?
 
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na kukopa hovyo sana wanajeshi badilikeni
kama hawarudishi, usiwakopeshe.
 
Ukifika kikosini kwake fanya uonane na ofisa usalama wa hiyo camp ndio uwa wana msaada na utapata haki yako ila hao wafungua mageti uwa wanalindana
Mkuu unaanzia wapi ili umwone huyo oficer? Maana ukifika getini kwao ukiwaona wale MPs jasho linakutoka kabla hujaeleza shida yako!
 
Nina marafiki polisi,uhamiaji. A zimamoto na wanajeshi wanalipwa allowance nyingi katikati za kisheria tena kama una familia ndo unapewa hela nzuri maana asiye na familia anapewa 300000 hapo baada ya week unapokea mshahara ila card zao zimeshikiliwa micro credit
HATARI SANA
 
Back
Top Bottom