Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kusema ukweli wa Mungu, mimi wake za watu nawaogopa, na sitakuja kufanya mazoea nao hata siku moja. Wanaume kuna namna tunaheshimiana na kuhurumiana hasa kwenye ishu nzima ya utafutaji; lakini linapokuja swala la kumkula mke wake aaah kula panga au kufanyiwa ukatili wowote ni kawaida.

Hivyo enyi wanaume jambo hili liepukeni kwa gharama kubwa.
Yeah ni mbaya sana , wanawake walio single wamejaa , hakuna umuhimu wowote wa kung'ang'ana na wake za watu
 
Sasa imagine uwe bikra afu umeishia kuonja kipilipili cha mmeo, unakutana na soft copy moja imepigwa futa hilo inang’aa😂🤸🏽‍♀️ Unachomoa??
Unachomoaje kwa mfano?? Ndo mwanzio wa kutafuta chimbo la telegram, ukajipatie madushe ya viwango
😂😂😂
 
Ndoa zisingekuwepo mwaya 😩

I will leave lakini mwajuma, pili, na Raheli je? sio kila mtu ataweza kuondoka, na hata akiondoka huko aendako ndio bora?

Tangu wanaume mlipokataa kuwajibishana kwenye hili, it does not seem to help . Mambo ndio kwanza yanazidi kuwa mabaya.

I hope kuna siku mtaelewa kwanini kwenye baadhi ya mambo huwa nakomaa na mwanaume, simple katika sayansi ya kuhusiana… Mwanamke ni reciprocater, in most cases atakurudishia kile ulichompa.

It’s natural justice, you can not pour from an empty glass.
Mafurushi ya humu hayatakii kuambiwa km hivi.
 
Kwanini hatuwezi kumwajibisha mwanamke binafsi kwa matendo yake bila kurusha lawama kwa mwanaume.

Vipi wanaume wanaochepuka tatizo ni wake zao au kwa wanaume kuchepuka ni tamaa? yaani mwanaume akichepuka kosa ni la mwanaume, mwanamke akichepuka kosa ni la mwanaume.

Lets make women accountable for their bad decisions.
Umwajibishe kwa njia gani? Bora tu uache kuoa. Hakuna njia ya kumwajibisha mwanamke aliyeamua kuchepuka.
 
Unachomoaje kwa mfano?? Ndo mwanzio wa kutafuta chimbo la telegram, ukajipatie madushe ya viwango
😂😂😂
Utaanza kutamani uione hata ya mlinzi au shamba boy ikoje kwanza! Utapita na viumbe vya ajabu mpaka huyo mume aseme! Ukiingia mitandao ya kijamii wanasifia umbo fulani afu huyu wa kuitwa mme mwema hana🤗
6553E27B-4A09-46A2-B7D5-CD6007C28747.jpeg
imagine ukutane na story kama hii, si itakuletea nightmares za kutosha! Imagine ss ushaonja hizi zote ata mada ikiletwa mezani unaelewa nini wanaongelea, unawazoom tu ushamaliza zako semester🤸🏽‍♀️😂
 
MTu anachepuka, anaku abuse emotional...anakupa hela anasepa..no intimacy , hisia zinakufa..ila ye ana enjoy huko nje..ukilazimisha anapanda anamwaga kamaliza analala....

Halafu unakutana na mtu nje anakubembeleza,yaani romantic...weee😁😁😁
Mjep au nasema uongo
😂😂😂 mama mtumishii. Mbona.......
 
Sasa mtu kisa kamuoa mwanamke anajifanya kamzoea anakazi ya kupachika kama utambi wakati zamani alimzoesha michezo 😆 wanaume wanakazana ooh mwanamke usimzoee mumeo 🤨 hata sisi hatutaki mazoea NB siungi mkono kuchepka ila ikibidi🫢
Nimefurahi sana leo mlivyokuja kwa pamoja tushambulie huu mzizi wa fitina, sijui m/kiti wao bado kalala😃
 
Back
Top Bottom