VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,943
- 14,165
Ila mwanamke anaechupa anakuaga anatoa yote hapunji hata kidogoWacha tuwapigie..
Ila mwanamke anaechupa anakuaga anatoa yote hapunji hata kidogoWacha tuwapigie..
Hapana, ugumu wa mwanamke n kumleta mtoto duniani na kumlinda huyo mtoto, tofauti na hapo hakuna lolote gumu kwa mwanamke litakalomfanya achepuke.Mbaga, ni ngumu kuwa mwanamke 😅
Na mwanamke anayetumia mwili wake kujipatia pesa huyo n malaya.99% ni tamaa ya hela
Natamani ingekuwa hivyo, kila kitu kina risk factors zake, kuolewa tena haimaanishi atapata ambaye yuko tofauti na yule aliyepita, So tell me atatakiwa kuvunja ndoa ngapi?Mkuu, mwanamke smart ana standard, wala haitaji kuhurumiwa. Kama Kaolewa, then baada ya muda kagundua mume havumiliki, ataomba talaka yake na Trust me kama ni smart na mrembo ataolewa tena tu na ikitokea asipoolewa mapema ataishi vizuri tu na in long run atakutana na mwenza wake watakayeelewana.
Ok kama tmekubaliana basi ni hivi, mwanamke malaya na mwanaume malaya wote ni malaya ila utofauti upo kwenye matokeo ya huo umalaya.Sasa mbona kelele au lawama zinajitokeza kwa wanawake wanao chepuka, ila kwa wanaume aaah.
Ndo maana yanajitokeza haya.
Yess ni mwanamke Malaya, haya tuendelee sasa.
Huyo hataki kufanya kazi ngumuNa mwanamke anayetumia mwili wake kujipatia pesa huyo n malaya.
Para ya 2, hiki kitu jamii hakihitaji kabisa kujadili, sasa sijui wanataka nini. LolNatamani ingekuwa hivyo, kila kitu kina risk factors zake, kuolewa tena haimaanishi atapata ambaye yuko tofauti na yule aliyepita, So tell me atatakiwa kuvunja ndoa ngapi?
Shida inaanza pale ambapo jamii imekubaliana kuwa mwanaume ni kiumbe wa tamaa, tabia yake imekuwa justified, and he will always get away with everything….. Huyu huyu mtu anapaswa aoe mwanamke innocent kwaajili ya kumpa furaha na kujenga familia. Ain’t this questionable?
Hata kulombwa nje ili upewe pesa nayo n kazi ngumu, malaya hachagui mtejaHuyo hataki kufanya kazi ngumu
Naona swali langu umelikimbia 😂Para ya 2, hiki kitu jamii hakihitaji kabisa kujadili, sasa sijui wanataka nini. Lol
We acha tu 🤣🤣🤣Mkuu inaonekana una experience ya kugongewa.
Swadaktaaa!Ok kama tmekubaliana basi ni hivi, mwanamke malaya na mwanaume malaya wote ni malaya ila utofauti upo kwenye matokeo ya huo umalaya.
Ukichukua wanaume 10 na wanawake 10 malaya wa mtaa walioamua kubadilika na kuacha umalaya, kisha wakaamua kusattle kwa kutafuta ndoa katika jamii hiyo hiyo, unadhani kati yao ni jinsia ipi watakaopata wenza na kusattle haraka na kwanini?
Uliona wapi?Ila mwanamke anaechupa anakuaga anatoa yote hapunji hata kidogo
Mkuu, kuliko kumirror tabia ya umalaya wa mume bora uvunje hata ndoa 100. Ukiamua kumvumilia basi mvumilie bila wewe kukiuka standard zako maana mwanaume atakayekuingilia kisa mumeo ni malaya most of time atakudharau tu.Natamani ingekuwa hivyo, kila kitu kina risk factors zake, kuolewa tena haimaanishi atapata ambaye yuko tofauti na yule aliyepita, So tell me atatakiwa kuvunja ndoa ngapi?
Shida inaanza pale ambapo jamii imekubaliana kuwa mwanaume ni kiumbe wa tamaa, tabia yake imekuwa justified, and he will always get away with everything….. Huyu huyu mtu anapaswa aoe mwanamke innocent kwaajili ya kumpa furaha na kujenga familia. Ain’t this questionable?
Swali gani ambalo sijajibu? 😂😂😂Naona swali langu umelikimbia 😂
Anyway, wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu.
Unavijua vishawishi wewe😂🙌🏾Hapana, ugumu wa mwanamke n kumleta mtoto duniani na kumlinda huyo mtoto, tofauti na hapo hakuna lolote gumu kwa mwanamke litakalomfanya achepuke.
Wengi wanaofanya ile kazi walishazoea mashambulizi, ngozi ya ndani inakuwa kama ya kiganja cha mkono, kwa hiyo hawaumii zaidi ya kuitega tu.Hata kulombwa nje ili upewe pesa nayo n kazi ngumu, malaya hachagui mteja
Na tunaotumia mbinu tu bila mwili?Na mwanamke anayetumia mwili wake kujipatia pesa huyo n malaya.
Sasa bikra anakijuliwa wapi? Kukaa kwenye jamii iliyo kengeuka haina maana kwamba unakubaliana nayo, wewe unazani wanaoishi kwenye nchi zilizo ruhusu maswala uhalali wa ndoa za jinsia moja ,unazani wote wanakubaliana nayo,kisa wanaishi kwenye mwaka 2026?Hahaha, mkuu unaongelea kutokujua kibamia kwa mwanamke anayeishi 2026? rudi kwenye uhalisia mkuu, hizi si enzi zetu za kuandikiana barua za uchumba, sasa hivi mwanamke kuyaona maumbile ya mwanaume na kulinganisha na mumewe kunahitaji kukutana live na mwanaume?