Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

N Sawa na kusema mm naishi USA, siishi duniani.
Umalaya n umalaya tuu, utoe kwa jero au bilioni bado huo n umalaya
Umalaya ni nini? Umalaya ni tabia ya kutembea na zaidi ya mpenzi mmoja, inaweza kuwa ni katika mazingira ya kujipatia kipato au kuridhisha nafsi. Swali, ni wangapi humu wako na mpenzi mmoja tu? Kama yupo, anyooshe mkono juu.​
 
Wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu.

Hakuna wa kunyoosha Hata ukucha juu
 
Back
Top Bottom