Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kwa sababu wanaume waliowaoa wanazingua...

Mwanamke akishamfuta mwanaume moyoni mwake, haoni shida kuanzisha mahusiano mapya hata kama kaolewa...

Hivyo hao unaokutana nao ni victims wa wanachopitia kwenye ndoa zao...
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
hamboreshe matunzo ndugu wanandoa,na ugomvi wa nara kwa mara huleta ukakasi,akikutana na anaejua kubembeleza japo usiku mmoja tu anafunguka ba moyo anakupa hajali kitu kama amekutana na stranger
 
Kwa sababu wanaume waliowaoa wanazingua...

Mwanamke akishamfuta mwanaume moyoni mwake, haoni shida kuanzisha mahusiano mapya hata kama kaolewa...

Hivyo hao unaokutana nao ni victims wa wanachopitia kwenye ndoa zao...
Umalaya ndo sababu hakuna cha victim.
Asiye malaya anavunja mahusiano ndo aendelee na mahusiano mapya kinyume na hapo ni uhalalishaji tu wa kufanya umalaya.
 
Cases ziko tofauti.

Kuna wanaochepuka sababu ya tatizo la kiuchumi lililotokea kwenye familia ambalo halikuwepo, kama anaona anashindwa kuhimili na nje anaweza kupata….. then….

Hapo hapo kwenye uchumi, kuna mwingine ameolewa na mwanzo alikuwa yuko okay na hali ya uchumi wa familia, gafla katika pita pita akajiona anaweza kupata huko nje akaleta ndani. Hii ndio TAMAA ya kumiliki mali. Hili kundi ni ngumu kulitetea 😅

Nyingine ni abuse, hasa emotional neglect & abandonment. Since “mmekubaliana” upendo/mapenzi sio sababu ya pekee ya kumuoa mtu, wanaume wengi wanaoa kwaajili ya mambo wanayoyajua wao nje na kupenda… Shida inakuja mkishawaoa mnawa-waacha hapo nyie wanaume mna endelea na maisha yenu (kwa wanawake mnaowapenda ila hamkutaka kuwaoa) Dhana ya upendo/urafiki inakosekana na hawa wamama kama walivyo binadamu wote lazima atafute wa kufurahi nae….. Na huu ndio uchepukaji mgumu sana kuuacha mwanamke akishauanza. Hili kundi naweza kuwatetea 😩

Kwa upande wangu sababu kubwa naona ni hizo.
 
Hii kawaida as long hujamkuta bikra basi anaprobability kubwa ya kuchepuka.
Kwani nyinyi wenzetu mnaishi jamii zipi mpaka mnaamimi bikira ni suluhu ya uzinzi? Malaya wote walikuwa na bikra. Kuna mtu mpaka anamaliza kidato cha sita unakuta hana shida halafu anaolewa mnashangaa ghafla bin Vuu zinaanza tamaa za smart phone mara kaingia vikoba vya ela nyingi ndani ya mda mfupi tu TAYARI na aliolewa na bikira yake.
 
N sababu gani ww itakayokufanya uchepuke?
 
Kwani nyinyi wenzetu mnaishi jamii zipi mpaka mnaamimi bikira ni suluhu ya uzinzi? Malaya wote walikuwa na bikra. Kuna mtu mpaka anamaliza kidato cha sita unakuta hana shida halafu anaolewa mnashangaa ghafla bin Vuu zinaanza tamaa za smart phone mara kaingia vikoba vya ela nyingi ndani ya mda mfupi tu TAYARI na aliolewa na bikira yake.
Bikra ndio suluhisho katika mia basi watakao kengeuka hawazidi watano, ila ukichukua ambao hawana bikra watakao kengeuka ni zaidi ya asilimi sabini? Hivi huoni kesi za kuchepuka kwa wanawak zimekuwa nyingi na wengine wanaujasiri wa hali ya juu siku hizi.
 
hii kali na ndiyo ukweli
Mkuu demu yoyote yule uliye date nae ujanani hata kama ulimucha kwa nyondo namna gani akija kuolewa zikapita miaka hata kumi siku mkionana panapo nafasi unapewa bila kuomba upya labda ikukute umeshaokoka tu.

Huwa wanasema yaani nilikupenda sana lkn ukanifanyia mbaya sana ila basi tu nishakusamehe muda pyupi imefika kwenye magoti..........Kwishaaaa
 
Cases ziko tofauti.

Kuna wanaochepuka sababu ya tatizo la kiuchumi lililotokea kwenye familia ambalo halikuwepo, kama anaona anashindwa kuhimili na nje anaweza kupata….. then….

Hapo hapo kwenye uchumi, kuna mwingine ameolewa na mwanzo alikuwa yuko okay na hali ya uchumi wa familia, gafla katika pita pita akajiona anaweza kupata huko nje akaleta ndani. Hii ndio TAMAA ya kumiliki mali. Hili kundi ni ngumu kulitetea 😅

Nyingine ni abuse, hasa emotional neglect & abandonment. Since “mmekubaliana” upendo/mapenzi sio sababu ya pekee ya kumuoa mtu, wanaume wengi wanaoa kwaajili ya mambo wanayoyajua wao nje na kupenda… Shida inakuja mkishawaoa mnawa-waacha hapo nyie wanaume mna endelea na maisha yenu (kwa wanawake mnaowapenda ila hamkutaka kuwaoa) Dhana ya upendo/urafiki inakosekana na hawa wamama kama walivyo binadamu wote lazima atafute wa kufurahi nae….. Na huu ndio uchepukaji mgumu sana kuuacha mwanamke akishauanza. Hili kundi naweza kuwatetea 😩

Kwa upande wangu sababu kubwa naona ni hizo.
Hujawahi kukosea Mahi, ukitoa neno bas neno kweli.
👏👏👏
 
Back
Top Bottom