Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Haha! I am a leaver, i will always leave . Ndio
maana tukisema hatutaki kuolewa mtuelewe sababu individually kila mtu anapenda kuwa addressed namna fulani, binafsi ningependa kuwa addressed kama mtu ambaye hakuwahi kuolewa kuliko aliolewa akaachika.

Again, mada sio kuhusu mimi 😅
Means kwamba hata ukiolewa na ukipata mwanaume aliyemzidi mumeo jambo fulani, lazima uchepuke.

Nipo sahihi hapo?
 
Mwaya, watu 8 ameeleza kuwa wao ni victim… maana yake ni kwamba kama ni umalaya wa kwanza kuunza ni mwanaume, to be fair kwanini mwanaume asivunje kwanza ndoa ndio aendelee kudeal na multiple partners outside wedding lock?

Kitu hatutaki kukijadili ni kwamba wanawake wame-mirror tabia za wanaume zao na wameamua waishi kama wao.

Na pia jamii haijadili kabisa suala la watu kuoa lakini hawana mpango wa kuwa “waume “ mtu anaoa halafu anataka aishi kama bachela…. Kwa hizi mentality ndoa zitasumbua sana huu ni mwanzo tu.
Lakini binti kiziwi wahenga wanasema bunduki haina mfuniko, kazi yake ni kufyatua tu tofauti na kibuyu ambacho huwa na mfuniko.

Kwahiyo hatupaswi kulinganisha bunduki na kibuyu.
 
Mwaya, watu 8 ameeleza kuwa wao ni victim… maana yake ni kwamba kama ni umalaya wa kwanza kuunza ni mwanaume, to be fair kwanini mwanaume asivunje kwanza ndoa ndio aendelee kudeal na multiple partners outside wedding lock?

Kitu hatutaki kukijadili ni kwamba wanawake wame-mirror tabia za wanaume zao na wameamua waishi kama wao.

Na pia jamii haijadili kabisa suala la watu kuoa lakini hawana mpango wa kuwa “waume “ mtu anaoa halafu anataka aishi kama bachela…. Kwa hizi mentality ndoa zitasumbua sana huu ni mwanzo tu.
Naomba uwe una bold, ili mafurushi ya humu yaone kwa umakiniii.
Unajua kupiga penyewe haswaaa.
😂😂😂
 
Mwaya, watu 8 ameeleza kuwa wao ni victim… maana yake ni kwamba kama ni umalaya wa kwanza kuunza ni mwanaume, to be fair kwanini mwanaume asivunje kwanza ndoa ndio aendelee kudeal na multiple partners outside wedding lock?

Kitu hatutaki kukijadili ni kwamba wanawake wame-mirror tabia za wanaume zao na wameamua waishi kama wao.

Na pia jamii haijadili kabisa suala la watu kuoa lakini hawana mpango wa kuwa “waume “ mtu anaoa halafu anataka aishi kama bachela…. Kwa hizi mentality ndoa zitasumbua sana huu ni mwanzo tu.
Two wrongs don't make it correct. Mwanaume anaechepuka ahukumiwe yeye binafsi kama mwanaume, na mwanamke anaechepuka ahukumiwe yeye binafsi kama mwanamke. Kusiwe na upande mmoja wa kuhalalisha uchepukaji wao kwa kurusha lawama upande mwingine. Je wanaume tukinywa sumu nanyi mtakunywa? jibu ni hapana, hii maana yake wanawake mnajua kipi chema kipi kibaya bila kujali mwanaume kafanya nini
 
Mkuu, uhalisia ni kwamba mwanamke malaya Vs mwanaume malaya thamani zao hazifanani katika jamii. Sio mimi nasema, ni uhalisia tu wa jamii yetu ilivyo.

Jamii ya wanawake itamkubali mwanaume malaya aliyeamua kubadilika na itampokea kwa mikono miwili pengine na kusahau ila kwa mwanamke hata akibadilika jamii ya wanaume haisahau hata kama akikubalika.

Thus, mwanamke kumirror tabia ya mume malaya ina matokeo mabaya kwake kuliko kwa mwanaume japo wote watakuwa malaya.
Naelewa…. Naelewa kabisa na nimeshaandika mara kadhaa humu kuwa ni ngumu sana kubadilisha Jamii kimtazamo.

But again, hao wanawake nawatetea sababu they are only trying to survive this tragedy, kucheat back ni surviving skills . Wanaume kuna muda mtuhurumie, imagine unatakiwa umpikie, umjali, umnyenyekee na umpe show mtu ambaye jana ametoka kuto**ana nje huko, si mara moja si mara mbili.
 
Nisikalili nini? Mbona hii inaonekana huitaji degree, kuna msemo unasema "unajenga tabia mwisho tabia nayo inakujenga".

Watu wanao bikra kupunguza probability ya kugongewa, siku hizi ndoa hazidumu ,migogoro kibao,maex wanaongoza sana kuvunja ndoa za watu yaani stability ya sasa kwenye ndoa na kipindi cha nyuma ipo wazi hitaji kuwa genius kuona utofauti wake.
Hahaha Mkuu,
Hiyo mindset ya hofu ya kugongewa na kuweka strategies ya kuzuia kwa kuoa bikira ni tatizo kuliko hata kugongwa kwenyewe, anagongwa yeye, viungo ni vyake, huna control navyo hata kama ulimuoa bikira.

Mwanaume ukishajiamini huwezi kuwa na hofu maana standard zako zipo wazi na mwanamke akizikiuka anajua matokeo yake.

Oa bikira sawa ila most of the time kinachozuia uzinzi ni standard zako mwanaume na matokeo ya kuzivunja plus standard za mke uliyemuoa regardless ya mistake alizowahi kuzifanya au bikira yake.
 
Unadhani yoyote kati ya hizo sababu zako ina-justify mtu kuchepuka?
Hapana,

Lakini ndio yanayoendelea, am i supposed to be a denialist or realistic? Hebu tuwaze pamoja. Mleta mada kauliza sababu ya wake za watu kucheat na mi nimemjibu.
 
Mkuu, uhalisia ni kwamba mwanamke malaya Vs mwanaume malaya thamani zao hazifanani katika jamii. Sio mimi nasema, ni uhalisia tu wa jamii yetu ilivyo.

Jamii ya wanawake itamkubali mwanaume malaya aliyeamua kubadilika na itampokea kwa mikono miwili pengine na kusahau ila kwa mwanamke hata akibadilika jamii ya wanaume haisahau hata kama akikubalika.

Thus, mwanamke kumirror tabia ya mume malaya ina matokeo mabaya kwake kuliko kwa mwanaume japo wote watakuwa malaya.
Huu ni uongo ambao mnapeana wanaume huko vijiweni kwenu, na sio uhalisia.

Cha ajabu sasa, hao wanawake wasiokubalika kwenye jamii ya wanaume, hawateseki wao, wanateseka wanaume wanaokataa kuwakubali wanawake hao.

😂😂😂 Waja mbona hamuelewekiii?
 
Haha! I am a leaver, i will always leave . Ndio
maana tukisema hatutaki kuolewa mtuelewe sababu individually kila mtu anapenda kuwa addressed namna fulani, binafsi ningependa kuwa addressed kama mtu ambaye hakuwahi kuolewa kuliko aliolewa akaachika.

Again, mada sio kuhusu mimi 😅
Mahi 😂😂😂
 
Hapana,

Lakini ndio yanayoendelea, am i supposed to be denialist or realistic? Hebu tuwaze pamoja. Mleta mada kauliza sababu ya wake za watu kucheat na mi nimemjibu.
Hakuna sababu yoyote ile itakayomfanya mke kuchepuka, ukiona mke wa mtu amechepuka ujue huyo n malaya tangu kitambo.
 
Naelewa…. Naelewa kabisa na nimeshaandika mara kadhaa humu kuwa ni ngumu sana kubadilisha Jamii kimtazamo.

But again, hao wanawake nawatetea sababu they are only trying to survive this tragedy, kucheat back ni surviving skills . Wanaume kuna muda mtuhurumie, imagine unatakiwa umpikie, umjali, umnyenyekee na umpe show mtu ambaye jana kuto**ana nje huko, si mara moja si mara mbili.
Mkuu, mwanamke smart ana standard, wala haitaji kuhurumiwa. Kama Kaolewa, then baada ya muda kagundua mume havumiliki, ataomba talaka yake na Trust me kama ni smart na mrembo ataolewa tena tu na ikitokea asipoolewa mapema ataishi vizuri tu na in long run atakutana na mwenza wake watakayeelewana.
 
Hahaha Mkuu,
Hiyo mindset ya hofu ya kugongewa na kuweka strategies ya kuzuia kwa kuoa bikira ni tatizo kuliko hata kugongwa kwenyewe, anagongwa yeye, viungo ni vyake, huna control navyo hata kama ulimuoa bikira.

Mwanaume ukishajiamini huwezi kuwa na hofu maana standard zako zipo wazi na mwanamke akizikiuka anajua matokeo yake.

Oa bikira sawa ila most of the time kinachozuia uzinzi ni standard zako mwanaume na matokeo ya kuzivunja plus standard za mke uliyemuoa regardless ya mistake alizowahi kuzifanya.
Ndio ukweli wenyewe kubali kataa,rate ya kugongewa kwa mwanamke asiye bikra ni kubwa uwe unajiamini au laah haiondoi. Bikra unaweza ukamkunja wewe mwenyewe, hajui kibamia wala muogo wa jang'ombe, haijui hela ya mwanaume inafananaje, hajui mambo mengi ya kiulimwengu yanaendaje, wewe mwanaume ndio unakuwa mtu wa kwanza, unamwelekeza,unamfundisha awe na uelekeo/tabia unazo taka wewe.

Sasa unamkuta mtu anazijua ndefu,fupi,zilizopima kuelekea pande zote za dunia, najua bata,viwanja nk ,huyu changamoto ndogo ya kifedha,tatizo la kiafya,performance kitandani ikipungua ,kaa ukijua huyo anasilimia kubwa kukukimbia, ndio maana nikasema "unajenga tabia mwisho tabia nayo inakujenga ",tabia ni kama ngozi ya mwili kuibadili ni kazi sana.
 
Back
Top Bottom