Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
- #61
Wewe si ulikuwa umeoa?? Kitu used ni mtumba kwa jina lingine
Nilioa ronyaronya.sasa ndio nataka kuowa kweli.
Wewe si ulikuwa umeoa?? Kitu used ni mtumba kwa jina lingine
hahahahaha umeona eeeh
Nilioa ronyaronya.sasa ndio nataka kuowa kweli.
Du! Kwahiyo wote uliokutana nao ni chomoa na mwenzio aingie??!, nilikuwa sijui kumbe JF kuna serious relationship?? Na mnafanya kweli???. Ndiyo nimejua Leo.
Basi wewe ni mtumba tayari a.k.a used
Kalaghabao wewe unadhani mpaka sasa hivi tungekuwa hapa bila faida? Wewe bundle zako zinaenda bila faida? Wenzako twala kaka!
Hivi unajua mtumba grade 3 ulivyo?? Hehehehe
Sasa mbona umenisha Kuwa wako hivyo???!. Na mimi natamani kuonja nitajuaje kama huyu Yuko powa?
kwa sababu hata wanaowatafuta ni magube gube yaliyomshinda mtume...
hahaha ndo ile ya sagula sagula
Mambo mumie?Shemeji mzima?
Basi si mbaya tukiandaa mechi mimi na wewe kama hujatoka nduki ndio utajua kama mtumba au brand new.
mi mzima honey nimekumiss
Popote ulipo Khantwe, nahitaji ufafanuzi wa hii kauli kabla sijakömit suisaidi.... wivu wangu ni mpaka kwa kaka zako.
Ah...babu kumbe hizi mali zako naww?
Hivi unajua mtumba grade 3 ulivyo?? Hehehehe