Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Shikamoo babu.Upendapo kufahamu hali yangu mie ni mzima wa afya
nashukuru umenipunguzia maswali. Uzima wako ndo furaha yangu. Vipi tarehe zako zinaruhusu nikutembelee kesho without
Shikamoo babu.Upendapo kufahamu hali yangu mie ni mzima wa afya
Eeh....aah eer...eti umeniita mpenzi?
Ah...babu kumbe hizi mali zako naww?
eeh eeh jamani...vipi tena?Kwamba ni mchepuko wako???
eeh eeh jamani...vipi tena?
ukimchunguza sana bata hutomla..
nataka ufafanuzi before i loose my temper....
Nimekuita sana. Naumia sana unapogoma kuitika labeka ilhali unajua mama yangu ni mwanamke kama wewe.
eeh eeh jamani...vipi tena?
Kuiweza mechi hakumaanishi ww ni brand new
Wana wa mmu.Tangu ndoa yangu ivunjike nimekuwa na juhudi kubwa za kutafuta mke hasa kwenye mitandao cha ajabu ni kwamba nakutana na watu waliokubuhu katika mapenzi,wenye watoto tiari,walioachika au wenye umri mkubwa au wenye matatizo ya kimaisha na anataka atumie mapenzi ya kuwa mke ili atatue matatizo yake,kwakweli sijawahi kukutana na bikra.Nilidhani naweza kupata mchumba mzuri kwa kukutana na watu wapya nisiowajua lakini zoezi ni GUMU KAMA CHUMA.
Aisee niseme tu mimi nimekutana na wadada wa jf wengi tu na all i can say is 'jf is full of beautiful women' no regret for me.
Baelezee baelezeeee la Aziz...!
Nina uhakika won't regret meeting you..la Aziz..
Nimefanya booking mtoto mmoja kazaliwa leo nasubiri bikra yake.
Hahaaaa hautajuta la Aziz, najiamini ntakuridhisha kila idara...!
hahahaaa kwani hujui kuwa ya huyo imetolewa kwa njia ya mionzi akiwa tumboni?