Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

Acha kujizungumzia mwenyewe hakuna watu wanafiki kama nyie wasukuma pia
hakuna watu wana wivu kama nyie wasukuma tena wivu ambao sio wa maendeleo wa kurudishana nyuma ndio maana mnalogana sana. Mnarudi kwenu kwa kujificha na hamuagi wakati wakuondoka kwa kuogopa kulogwa.

Cheki kimaendeleo mlivyo bado mpo nyuma, vijiji vya huko shinyanga ni umasikini tuu. Washamba nyie.
Aaah kumbe wewe ni Mangi naona umeumia Sana wakati ni kitu cha kawaida tu nilichosema...by the way Mimi sio msukuma Mama ni mnyakyusa na Baba ni Burushi, nimezunguka Sana TZ kutokana na mishe za Mzee na nimeona mengi so Ninachosema nakijua vizuri Sana, Kila jamii ina uzuri na ubaya wake, pole Sana kama imekukera na hata hivyo sichukii kabila lolote so be calm, be positive.
 
Aaah kumbe wewe ni Mangi naona umeumia Sana wakati ni kitu cha kawaida tu nilichosema...by the way Mimi sio msukuma Mama ni mnyakyusa na Baba ni Burushi, nimezunguka Sana TZ kutokana na mishe za Mzee na nimeona mengi so Ninachosema nakijua vizuri na hata hivyo sichukii kabila lolote so be calm...
Kumbe tatizo lako ni kuwa hauna identity. Hauwezi kujiidentify kwa kabila lolote. Tanzania hamna kabila la Brashi wana Furushi
 
Sasa uliona wapi mchaga asiye na kwao? Kuna nyie mnaokaa mjini mpaka mnazeeka hamjawahi kwenda kwenu... Ndio vyasaka
sijakataa kuitwa chasaka nikiwa dar es salaam street moshi, ila ukija kwetu na wewe ni lipoma. Yaani kila jamii ina jina kwa mgeni yeyote anayefika kwao, zingatia hilo lipoma tarajiwa.
 
Hapo VIP!
Hili swali huwa sipendi ambao Wachaga wengi wanapenda kuiliza. Eti Wewe ni kabila gani?

Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda sana hili swali.
swali very teckiniki bro. kila kabila lina tabia yake. so ukiulizwa mtu anataka kujua huyu kwa asili tabia hii. anakuepuka kukukwaza. wapo sahihi kabisa. sio unaoa mzaramo halafu unakwazika akienda ngomani.
 
swali very teckiniki bro. kila kabila lina tabia yake. so ukiulizwa mtu anataka kujua huyu kwa asili tabia hii. anakuepuka kukukwaza. wapo sahihi kabisa. sio unaoa mzaramo halafu unakwazika akienda ngomani.
H
Wachaga wana akili nyingi ukiulizwa hilo swali ujue anachukua taadhari
Sio Kweli ni laana ya ukabila inawasumbua
 
H

Sio Kweli ni laana ya ukabila inawasumbua
sio kweli hiyo ni memtality tu inakusumbua. una chaggafobia pole mkuu. huu ugonjwa tunao waafrika karibu wote maana chochote afanyacho mzungu tunaona ni ubaguz kwasababu ni waafrika. jiamin mkuu hutaish kwa kukariri madhaifu ya watu maana hata wewe kuna wanaokuvumilia tu sema hawasemi.
 
Sijawah kulichukulia kwa uzito hilo swali, sanasana napenda kujua umetokea mkoa gani/wilaya gani ila sio kabila.

Tunaathiriwa zaidi na maeneo tuliyotoka kuliko makabila yetu halisi.
 
Back
Top Bottom