aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,433
- 23,599
Mimi Sina baya na makabila mkuu.Ndio kwa sababu unafikiria mtu kukataa kitu ni mpaka asema hapana. Tunangalia kauli zake na matendo yake yanakupa majibu kuwa huyu mtu amesimamia wapi.
Mtu anayependa habari za makabila Yuko sawa, na asiyependa habari za makabila Yuko sawa pia.
Binadamu wote hatuwezi kuwa na uelewa au mwelekeo sawa wa kimtizamo