Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,568
- 15,207
Ndagha kikolo, ndagha ubhombie 😁😁huyu atakuwa anapiga kazi sana kama Wasukuma, Wanyamwezi au Wanyakyusa.
Ndagha kikolo, ndagha ubhombie 😁😁huyu atakuwa anapiga kazi sana kama Wasukuma, Wanyamwezi au Wanyakyusa.
We jamaa 🤣Sawa.
Sasa tuambie wewe ni Kabila gani?
🤣Mkubwa mbona unahasira sana, kwani we ni kabila gani?
Watu wa miaka ya ujamaa tabu Sana mkuu.Mliokulia enzi za ujamaa ndo mpo hivyo. Magen z hata kutumia majina ya ukoo wengine wanagoma.
Makabila hayasaidii chochote.
Sina shida na identity za kikabila maana Sisi tumeshatoka huko, Sisi hatupo kwenye UNYANI kama huo wa mambo ya ukabila...
Mimi najua serikali ndio inapenda kuuliza. Huduma nyingi za serikali zinahitaji taarifa za kabila la mhusika.Hapo VIP!
Hili swali huwa sipendi ambao Wachaga wengi wanapenda kuiliza. Eti Wewe ni kabila gani?
Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda sana hili swali.
Alafu wasiopenda hilo swali wengi wao wana inferior complexity .
Sasa mtu akikuuliza kabisa gani sin unajibu tuu mimi Mpare. Simple tuu.
Mimi najua serikali ndio inapenda kuuliza. Huduma nyingi za serikali zinahitaji taarifa za kabila la mhusika.
Kabisa kaka kwa sababu mimi nilipokuwa Secondary Advance kuna mwalimu wa Physics ni Mpare alikuwa ananitania sana wewe Mchanga ukisikia shilingi imedondoka hata kama upo umelazwa hospital unasema ni yangu. Alikuwa nanitania na najisikia poa sina shida tunacheka darasa zima.
Sasa hao wanaoficha identity kwa kusema mimi natokea Mfano Mbeya bila kusema kabila huo ni utumwa.
Cheki wenzetu Wazulu, Igbo na hata Afrika Mashariki mfano Uganda wana hadi wafalme wenye nguvu mfano Tooro hiyo ni identity yao na wanajivunia.
Watu wa miaka ya ujamaa tabu Sana mkuu.
Unaweza ukawa na vigezo vyote vya kupata kazi au shughuli Fulani, ila kwakuwa ni kabila tofauti na yeye ukaikosa kazi.
Makabila msaada wake upo kwenye kutambikia mizimu tu ya mababu.
Kwani nimekataa kuulizwa mkuu 🤣🤣Mtabaki hivyo hivyo ila mtaulizwa tuu
Kwani nimekataa kuulizwa mkuu 🤣🤣
Leta ushahidi mkuuUmeonesha kwamba hupendi.
Leta ushahidi mkuu
kujua asili ya mtu(kabila) inasaidia kumuelewa na namna ya kuishi nae, Mtu hawezi kuja kuomba kazi kwangu bila kukumbana na hilo swali. .Hawaelewi tu umuhimu wa kujua kabila la mtu
Dah 😁 mpaka kizungu kabisa mkuu . Ila fresh tuUlipoongelea watu wa enzi za ujamaa
Mara makabila ni kwa ajili ya kutambika. Ina tafsiri gani? We can see where you can't young boy.
Dah 😁 mpaka kizungu kabisa mkuu . Ila fresh tu
kujua asili ya mtu(kabila) inasaidia kumuelewa na namna ya kuishi nae, Mtu hawezi kuja kuomba kazi kwangu bila kukumbana na hilo swali. .
Wanataka kujua ni mtu wa kuishi kwa malengo au upo bila mwelekeo!? Kabila linasema mengi.