woodpecker24
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 376
- 833
Huu ni uzi wa pili kukandia wachaga leo kunanini mbona ghafla sana
Hahahahaa CHASAKA hawezi kuwa mchaga. Uzuri unajua cheo chako mtu pori.Chasaka mkubwa wee
Mkuu mbona umecatch? Mie nimetolea mfano tu mbona nimesema Wanawake wa Kimarangu ni wazuri hilo hujaona ni negative?
Pole mkuu. Samahani sana kwa hiloUmesema ni wazuri kwa maana mbaya. mimi hoja yangu niw umekuwa biased.
Na hata kwenye koo zetu tunaulizana umetoka uzao wa nani na familia ipi?
Pole mkuu. Samahani sana kwa hilo
Labda inawasaidia, Mimi nikijua Niko karibu na Mangi lazima nikae chonjo maana muda sio mrefu tutagombana huwa sitaki Janja Janja...Mimi watu ninao enjoy kuwa nao ni wasukuma maana wapo real halafu ukifanya nao biashara au mkipanga dili huwa wanatimiza ahadi, wako honest halafu wanajua kuishi na watu, ukipanga mipango na msukuma unajua kabisa hapa napanga mipango na mwanaume mwenzangu...Udhaifu wao mkubwa ni wanawake, anaweza kuhonga hata nyumba kmmke...
mimi nikiulizwa hilo swali na mtu ambaye nammudu, namtajia tu kabila lolote ninalojisikia.Maeneo mengi Tanzania yote ukionekana mgeni tegemea kuulizwa hilo swali, hasa hasa kutoka kwa watu wazima 60s and above. Sipendi pia kuulizwa kabila na nikiona haina madhara sijibu.
kabla sijatembea tembea nilikuwa nafikiri wachaga wote ni matajiri na wote ni wafanya biashara.Hii mindset itakutesa sana..hapa duniani kila MTU ni unique ana attitude, behavior, character Na IQ tofauti...utachelewa sana...mjaji MTU kutokana Na tabia Yake mwenyewe...ndio maana sio wachagga wote wanafanya biashara..kuna wengine tumeawajiri kwenye biashara zetu Na wangine ni walala hoi wengi huko Kilimanjaro
kabla sijatembea tembea nilikuwa nafikiri wachaga wote ni matajiri na wote ni wafanya biashara.
Hawa ni wazungu wa wapi ? wanaouliza kama hivyowhere are you come from.
CCM wanawatoa kwenye reli ya msiba wa mume wa mheshimiwa mkuu wa jamhuri.Huu ni uzi wa pili kukandia wachaga leo kunanini mbona ghafla sana
They carry it as their identity and pride. Nilipost kitu insta kuna mkaka akacomment we ni mchaga?
It’s so sad kabila langu huwa hawataki kujitambulisha kama wanyaturu.
Proud ones ni only few walioelimika form 6 leaver kama The Monk
Suala la miundombinu umekomaa nako.. Huo mtaa wajenge sanamu lako.Juzi kuna jirani anajenga maeneo ya huku kwetu, ili tuyajenge mambo ya miundo mbinu kujiandaa na mvua.
Baada ya kuyaelewa maelezo yangu ajaniuliza ghafla, wewe unaitwa nani na ni kabila gani? Of course yeye anatoka Kilimanjaro, nikamwambia mie Mnyaturu.
Nikajua unanisubiri twende wote.Tuko msibani tafadhali tunawahi maziko.
Suala la miundombinu umekomaa nako.. Huo mtaa wajenge sanamu lako.
Nikajua unanisubiri twende wote.
Nilimaanisha saidia fundi mkuuHata ufundi ujenzi unaweza kuwa biashara pia. Mdogo wangu ni fundi wa umeme majumbani na hajasomea popote ila anaweza kuwa na site kama 6 kwa pamoja anaweka vijana wanafanya kazi yeye anakagua tu. Biashara siyo lazima umiliki duka