Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 737
- 2,162
Nimekuelewa mkuu. CLEAR kabisa. Upo vizuri sana.
Hata mimi sidhani yule HR amezengua on his own capacity, ofcourse i dont have a personal thing with the HR.
ARGUMENT
Sasa kama inatokea akawa over supplied than requested number,
Hiyo technically si kule utumishi wamepewa vibali na fungu la mshahara wamesha calculate sasa kama akimkubali huyo HR atapoteza nini? Implication ni kwamba kama amekataliwa hapo atapangwa kwingine maana fungu lake tayar au ipoje mkuu??? Au hiyo means hes just a loser??? Congressman
Sekretarieti ya Ajira haihusiki na mishahara (Fungu/tengo).