HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka

usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo

Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo

Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu

Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.

Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,

moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁

Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote

Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Daah hii inatupa faraja sana watafutaji,hongera sana afsa
 
So far amemchek Hr tu hajaonana na Mkurugenzi.
Barua nakala imeanza na PS UTUMISHI=> KATIBU (TUME YA UTUMISHI WA UMMA) Ikaisha na MKURUGENZI WA TAASISI
Ngoja kesho apite utumishi kivukoni alafu if necessary amuone mkurugenzi na lastly aendelee kule Dom
Nakushauri aende kwa mkurugenzi wa taasisi aongee nae mzee atakubaliwa hiyo utumishi ataenda mbali kama itashindikana kwa mkurugenzi Hilo bado lipo ndani ya uwezo wa mkurugenzi
 
Jobless mkipata kazi kumbukeni kufanya saving Kwa ajiri ya uwekezaji badae sio ukipata mshahara unatumia unaisha, Epuka pombe na bia zitakumalizia Hela pia muombe mungu akulinde peke Yako huwezi.

Msiogope kupangiwa nje na town huwa naona humu mnaponda sana nakaa kimya hamjui kitu maisha ya mjini ni gharama sana kuliko huko mnakokuponda mfano Kuna WILAYA hazipo mjini ila Zina huduma zote, mfano maji,umeme, mtandao, hospital, na gharama za maisha zipo chini kiasi mfano nyumba Zima yenye vyumba 3 kimoja master, na jiko + public toilet full tiles na umeme na kila kitu Kodi na laki tu Kwa mwezi hiyo nyumba Kwa Dar utalipa laki hata 5 wazeee, nyumba yenye vyumba viwili inakua kama 75k tu, chumba(self) na sebule 30 Kwa Dar ungelipa 150k

Upande wa vyakula asili kama kuku unapata Kwa 10k tu na nyanya za buku zinaweza zikakuozea ndani 🤣🤣🤣

Nawashauli msichague mjini tu hakuna ishu huko Zaid ya club na kumbi za starehe hamtaweza kusave Hela na kununua gari pila mkopo

Mtunze afya pia hakuna Raha ya Hela ikiwa unaumwa

Cha mwisho naomba mnishauri gari la kununua🤣🤣( natania hapa Sina Hela)
Mwakani tuvute Subaru mzee😂😂😂😂😂halafu unaiandika you overtake we race😂
 
Hapa kuna uwezekano mkubwa PSRS ndio wamefanya makosa kwa bahati mbaya!! Ujue PSRS wanafanyisha usaili na placement kwa niaba ya mwajiri kwenye utumishi wa umma!! Kwa hiyo lazima wapeleke waajiriwa kama mwajiri alivyohitaji na si vinginevyo!! Kama mwajiri alihitaji mmoja na kuna ushahidi kuwa alihitaji mmoja huwezi ukampa wawili akawapokea wote, hana bajeti hiyo!!

Ila huyo aliyepatwa na jambo hilo lazima atapewa placement mahali pengine nafasi itakapopatikana kulingana na sifa zake, kutoka kwenye data base!! Ni suala la muda tu!!
Kuna taasisi zinapelekewa watumishi hata bila kuomba hasa zile ambazo ni private lakini zinashare na serikali
 
Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka

usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo

Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo

Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu

Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.

Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,

moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁

Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote

Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mchapa kazi kweli kwel
 
Hongera sana. Ukajitahidi kukumbuka kuwa mtumishi mwema. Ushuhuda wako utawatia moyo sana wanaosubiri placement!!
 
Hongera mkuu

Tanroads bila connection hutoboi ila kupitia psrs imefanya watoto wengi wa wakulima kupata kazi kwenye taasisi zenye asali
 
Jobless mkipata kazi kumbukeni kufanya saving Kwa ajiri ya uwekezaji badae sio ukipata mshahara unatumia unaisha, Epuka pombe na bia zitakumalizia Hela pia muombe mungu akulinde peke Yako huwezi.

Msiogope kupangiwa nje na town huwa naona humu mnaponda sana nakaa kimya hamjui kitu maisha ya mjini ni gharama sana kuliko huko mnakokuponda mfano Kuna WILAYA hazipo mjini ila Zina huduma zote, mfano maji,umeme, mtandao, hospital, na gharama za maisha zipo chini kiasi mfano nyumba Zima yenye vyumba 3 kimoja master, na jiko + public toilet full tiles na umeme na kila kitu Kodi na laki tu Kwa mwezi hiyo nyumba Kwa Dar utalipa laki hata 5 wazeee, nyumba yenye vyumba viwili inakua kama 75k tu, chumba(self) na sebule 30 Kwa Dar ungelipa 150k

Upande wa vyakula asili kama kuku unapata Kwa 10k tu na nyanya za buku zinaweza zikakuozea ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nawashauli msichague mjini tu hakuna ishu huko Zaid ya club na kumbi za starehe hamtaweza kusave Hela na kununua gari pila mkopo

Mtunze afya pia hakuna Raha ya Hela ikiwa unaumwa

Cha mwisho naomba mnishauri gari la kununua[emoji1787][emoji1787]( natania hapa Sina Hela)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaturusha sana roho mkuu
 
Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka

usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo

Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo

Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu

Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.

Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,

moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki[emoji16]

Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote

Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Tulizimiss sana shuhuda kama hizi, mikeka minne mfululizo wewe ndio umetukoholesha hili kohozi(kupongeza), wengine sijui hawapo humu....

Historia njema inatia moyo kwa yeyote anayeendelea kupambana, jamani kukata tamaa sio option, hakikisha unapambana hadi kieleweke.

Hongera sana mkuu kwa kuingia kundini, kila mmoja wetu anaingia kwa wakati wake, subira na juhudi ndio mpango mzima.

Kila la kheri na ukawe mtumishi mwema!
 
Back
Top Bottom